Habari yenu wakuu,
Nmependa nitumie jukwaa hili kutoa angalizo moja ambalo nina ushuhuda nalo.
Mara nyingi watu hupenda kwenda Sokoni kununua Matunda kwaajili ya kutengeneza Juice majumbani...
Mara paaap mmevamiwa home na majambazi wenye bunduki . Katika kutafuta cha kuiba, wakafanikiwa kupata elfu saba mia nane pamoja na redio ya mkulima.
Kwa hasira majambazi wanaona wametumia nguvu...
Ila wanawake bhna!
Yani umeshatoa mimba tatu mfululizo halafu Kuua mende unaogopa, Si ujinga huo :mad: :mad: :rolleyes:
Ila Wanawake wanafurahisha :D
Eti mwanamke mchepukaji anaweza...
Wadau,siku hiz nimekuwa na ujasiri wa ajabu hadi kuna muda nakaa natabasamu halafu najikubali,
yaan huwez amin kipind cha nyuma nilikua siwez kabisa kuwakwepa mademu wanaopiga vizinga au wale...
Nimekaa nikakumbuka enzi nilizopitia ujanani!!Nakumbuka shati langu la AZARRO,MARADONA,Na Shati langu la Ndege!!Na Jeans yangu ya Michael Jackson na Saa yangu ya Morrtima!!Nikakumbuka viatu vyangu...
siku za karibuni kumekuwa na majina ya ajabu sana hapa JF na yanayofurahisha au kuchekesha...kama Nipigie;chapa nalo..via mobile .tzjamani, kaalamoto, 3D .mchekechoni, drphone,mtembeapeku lol! na...
kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah...
Ndugu ushapata kikombe? Kama shughuli zimekubana;Tuma neno KIKOMBE LOLIONDO kwenda *000# ili uletewa kikombe hapo ulipo. Huduma hii ni kwa lengo la kupunguza msongamano kwa Mch. na kuhakikisha...
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza...
Kwenye kila jambo mna kusudi,naamini kuwa kuwepo kwa mchungaji Ambikile na uwezo wake wa kutibu magonjwa sugu kwa mitishamba,ni fursa kubwa kwa nchi yetu kujitangaza na kuingiza pesa nyingi za...
*"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa...
Wanawake bwana, mnapopanga mahusiano yenu ili kuanzisha maisha ya ndoa na familia wanakua very supportive , ahadi nyingi , za kuendana na hali mtakazokumbana nazo , lkn ghafra mkishaanza maisha...
Kutokana na asili / nature ya Kazi zao Makondakta wengi nchini wamelalamikiwa sana na Wake / Wapenzi wao hasa kutokana na Vitendo vyao wa kila siku usiku wakilala tu huwa wanawahi Kuota Ndoto zao...
Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera...
Aiseee hapa nilipo nimeboreka sana
Kuna dada tupo tunafanya group discussion lakini cha ajabu kaachia ushuzi bila hata kuona haya yani kama vile hakijatokea kitu
Nimeshindwa kuvumilia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.