JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee??? Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni...
4 Reactions
74 Replies
11K Views
Niko ndani nasikia kwa jirani yangu hapa kwamba anatazama tv, lakini kipind kilichopo hewani ni 3mzuka.Sasa wanapigiwa washindi wao ambao wameshinda tatu mzuka, sasa jinsi mtu anvyopokea tukio la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam wapendwa! Heading ya mada inajieleza vizuri hivi majuzi nilisafiri kidogo kuelekea Urusi nikafikia hapa jiji la Moscow sasa ugeni umenizidi huku natafuta hawa ndugu zetu diaspora walioko...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
niende kwenye hii topic moja kwa moja maana ni kama breaking news! nimeona video mtu amenunua samaki supermarket ya huko ulaya! cha ajabu samaki ni wa plastic na ana mfupa yaani katengenezwa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini za jioni Na poleni kwa weekend! Napenda kuwajulisha tu kuwa muda wowote tutawaletee interview kabambe ya couple au wapenzi wanaoongoza kushow love hapa JF mr and Mrs smart 911...
0 Reactions
225 Replies
12K Views
Hahahaaa hapana haijatangazwa popote wanajamvi Bali ni Mimi mwenyewe nimeamua kuwaza kwa sauti! Sio siri huyu Zembela nimejaribu kumfatilia kwenye kipindi cha super mix East African Radio pia...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu kama una Ndugu, jamaa na rafiki ambaye ulipotezana nae, hamjaonana kipindi kirefu na huna mawasiliano nae huu ni uzi wako. Wanaweza wakawa ni jamaa na marafiki uliosoma nao, uliofanya nao...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy . Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Land alienation Forced Labour Low wages Poor technology Poor infrastructure Lack of education Unemployment Taxation Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali...
1 Reactions
7 Replies
795 Views
UKIWA FACEBOOK kuna mambo noma sana. MWANAMKE anajiita Cuttly beibz Pweeery Libs ameposti: "Uwiiiiiiiii" na ndani ya 5 minutes kuna 'like' 200 na 'comment' 140. Kwenye hizo komenti humo ndani...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza...
9 Reactions
115 Replies
7K Views
please don't judge my English Hey friends I wanna play with you the last standing man game and these game unlike @jf game of the year Everyone will participate using ENGLISH only till to the...
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Sikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
demu mweusi akioga kwenye swimming pool kwa mbali anaonekana kama mamba[emoji81] [emoji81] [emoji81] nipo home njoo tupigane Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Sisi wanaume tumeumbwa ili tuishi Na wanawake kwa amani Na upendo Wanasema nyumba ni mwanamke Hata ujenge nyumba nzuri sana pembeni ya bahari ikiwa hujapata mwanamke hiyo nyumba itakuwa Ukiwa...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
jamaa mmoja alikuwa bado wamelala asubuh Ghafla mtu akapiga hodi kwenye mlango mke akaenda kufungua bahati mbaya kumbe ni Mpango wake Wa kando MKE :unataka nini we mpumbavu MUME :nani huyo...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom