Mwizi mmoja kwa jina la Mathew Stewart (32) amekamatwa huko Los Angeles baada ya kuingia kupitia dirishani kuvunja kioo na kuiba cake aliyopewa na girlfriend wake kwaajiri ya birthday, John...
Kwanza ifahamike toka zamani watu wafupi tunadharaulika sana na kwa kulitambua hilo mapema kabisa yesu alimtembelea mtu mfupi zakayo nyumbani kwake.
Na hiyo yote yesu alikuwa anataka kuwafuta...
Hakuna kitu kizuri kama kupata *Mwanamke* anayekuheshimu,kukusikiliza, na Kukupa mapenzi motomoto,
*Yani Kuna Muda Unatamani Umwambie awafundishe na Mademu Zako wengine!!!!*...
Kama ulisoma kidumu na ufagio, miaka ya 90s bila shaka uliwahi kukimbia mchaka mchaka ule wa asubuhi. Nakumbuka moja ya nyimbo zilizokuwa zikihamsha hamsha!
Kuna huu!
'Nelson Mandela...
Yani kwa vile hujui kingereza inabidi niandike kwa kiswahili.
Toka asubuhi tulikuwa wote japo hukutaka hii keki niipige picha ila huwezi kunizidi ujanja.
nakuwish happy birthday my babe ...
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Acha kumwuliza mwanamke kama ana boyfriend, mtoe out mnunulie msosi, kinywaji, mfanye acheke, mnunulie kila anachokihitaji kam n sim, nguo na vingne then mwache achague mwenyew kama yuko single...
Karibu sana kwenye huu mchezo mzuri kila mmoja aweke herufi ya mwanzo ya jina lake tuchague tunaorandana herufi za mwanzo mimi ni J aje mwingine mwenye herufi kama yangu.....
J
Msemo huu umeshika kasi sana miezi ya hivi karibuni
naombeni kujua ni nani alianzisha msemo huu,
mimi binafsi nimemsikia sana Dogo Msodoki YoungKiller akiutumia kwenye track zake
ika sijaua ni...
Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.
Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi...
*Jamaaa mmoja kakodi taxi akawa anatembea katika jiji mara kapita* *gest moja akamuona mkewe anaingia gest* ```jaamaa akamwambia dereva simama,...
akamuulizaje```?
*unataka laki tatu za chap chap...
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti...
Jamani,
Hivi sikuhiz kuwa na simu kuubwa ndo fasheni? Make vijana ofisini kwetu naona kama hawana cha kufikiria zaidi ya kushindana kununua simu mpya kubwa kubwa mara kwa mara.
Mwingine...
Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili...
Huwa nikiwa nje ya Dsm sio rahisi kusikia watu hasa wanaume wenzangu wakihadithiana habari ya series hasa za Kikorea
Sana sana ni Movies tena zile za kihenga za enzi za akina Dolph lundgreen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.