Kama unajijua kuwa unaishi na mtoto wa watu na hujajitambulisha wala kutoa mahali kwao, basi wewe ni mmoja wa wafuasi wa Boko Haram, nasema hiviiii #BringBackOurGirls .
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni...
Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu...
Wadau habari zenu
Hali yangu kiuchumi imetetereka na sikukuu ndio ipo mlangoni,hivyo nina watoto wa 4 wawili mpaka sasa wameshapata nguo ila wawili na pesa ya pilau ndio mashaka
Baada ya hali...
Kuna wimbi kubwa la mada humu JF na hata huku mitaani,
Wakiwasema single mother kwa kila mtu na maoni yake.
Wengi wanawasema katika mahusiano kuwa si watu waaminifu.
Lakini chakusikitisha ni...
Mapenzi na wadada wanaojiuza ni hatari sana, si hatari kwa maana utapata maambukizi la hasha bali ni mapenzi yanaboa kupita maelezo.
Ukikutana nae anatazma pesa tu mfukoni wala hana hisia na wewe...
For tonight is RnB night starting 8 p.m MMU Lounge. Remember to pick only RnB songs! The most glamorous couple wins tickets to the White Party!!
See you there.
Baadhi ya Watanzania wanadai eti wah.Kabaka na John Pombe Magufuli ndio mawaziri wenye majina mabaya duniani,ebu angalia listi ya mawaziri wa nchi za wenzetu halafu mlinganishe na akina Pombe na...
Wazimu unataka kunipanda, na nnavojijua wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua. Weekend imeenda vizuri tuu niko pembezoni mwa bahari alone akaja jamaa mmoja hivi akaanza kuniimbisha.
Haikuwa...
Matajiri hatulali sana tunalala kidogo, tunafikiria kuwafikia kina Bakresa na Mengi tuje tumiliki mademu wakali mandinga makali tutumie mapafyum ya Chibu Dangote.
Wa kishua
Aisee Wee classmate elfu mbili na........ Well known as Amri........d ni feki feki fekiiiiiii of all the fakes.
Umenitapeli hela yangu Japo ni kidogo mate kumbe bora nisingepingana na hisia zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.