KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39...
Nasikia huyu [emoji7]amenusurika kuuwawa huko shinyanga kwa sababu ya macho mekundu.Haka [emoji12]kamepigwa bastora kwa kukonyeza mke wa mtu.Huyu [emoji35]kakosa ajira,huyu kalemaa shingo siku...
Hivi wakuu huyu member anaeitwa Paprika kapotelea wapi?. Alikuwa ana comment maneno machache kwenye mada mbalimbali lakini yaliyojaa busara nyingi. Mimi binafsi alinivutia kwa comment zake...
Mzuka wanajamvi,
Siyo nawaringia ila Kupendwa raha.
Usiku huu nilipotoka mzigon (kubeba boksi) nilipanda basi nikakaa na mbibi. Nilipofika kwenye kituo changu nasimama kushuka yani kanishika...
Hey...huu Uzi ni special kwa wana JF waliopata bahati ya kupata like ya mwanzilishi wa JF bwana ( maxence melo)
The boss himself njoo apa uelezee baada ya kuona comment yko amelike bwana huyu...
Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani...
Kwa case yangu siwezi pitisha hata 1 hour, na prefer kusikiliza muziki kuliko hata kuangalia video zake, movie ndo kabisa sina muda nazo!
Vipi kwa upande wako?
Ni sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class
ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance
Sent...
>> Dem Wako Kaenda Kukutambulisha Kwao, Kufika Getini Kwao Unamkuta Dada Ake Ambae Ni Dem Wako Wa Zamani, Kidogo Unamuona Kaka Ake Ulipigana Nae Kwa Sababu Alikufumania Na Demu Wake,, Ulipoangalia...
Jamani nimeleta mzigo mpya wa SIDIRIA za kisasa. Kama unahitaji usijipe tabu ya kusema unavaa namba ngapi. Just nitumie picha ya maziwa yako tu. Ntakuletea saiz yako.
Na mwez ujao nategemea...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Dar kwa kuwa wa mfano kwa Tanzania nzima..
Baada ya zile mvua zilizokuwa zinanyesha kipindi cha mwanzoni mwa mwaka huu, sasa matunda...
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.[emoji12]. Ndiyo siku niliyozaliwa[emoji64][emoji64][emoji64].
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni...
Bikra bikra!
Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!
Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!
Njia...
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote...
Nimeweka post Yang kuhusu kutafuta mchumba lakin kutokana na watu wengine ambao ni lossers, kufeel jeolus na envy ,wanaanza kunitukana na kujudge vitu visivyo na msingi mpaka meaning ya lengo zima...
Kwanza hampendezi kabisa zaidi ya kututisha tu, na ndiyo sababu hizo pochi zenu haziachi kutoa harufu.....fangasi wamekaa hapo miaka nenda rudi mpaka wanahisi labda umekufa.[emoji16] [emoji16]...
Habari wakuu mko poa,
Iko hivi katika maisha yako kuna ujinga ulishawahi fanya matokeo yake yalikuwa faida au hasara.
Kwa upande wangu;
1.Niliwahi kufanya ujinga wa kufanya mapenzi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.