Huyu jamaa nakumbuka alikuwa mkereketwa sana wa lebel ya domo ya wcb_wasafi but navoona kinachoendelea kwenye mitandao inaonesha kuna mtafaruku mkubwa sana kati yao. Mara nyingi huwa naona...
Leo nimemsikia jamaa kachapia mpaka nikahisi akiendelea hv anaweza akawa bubu..
jamaa kaniuliza hv "Eti kati ya mbuzi na mkubwa nani nguruwe?"..wakuu embu naombeni nanyie mtoe michapio ambayo...
WAZO LA LEO
Baada ya kulala peke yangu kwa mda mrefu hatimaye jana nimelala na njaa![emoji15][emoji15][emoji102]
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa...
Wandugu habarini jamani,
Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na...
Jamani kwa wale wakazi wa Mbeya hebu naomba tujuzane ni wapi wanauza ile haramu yenye pua ndefu? Nimeikumbuka sana halafu sijui nitaipata wapi, hebu wenyeji naombeni msaada wa haraka.
Wasalaaam.
Waungwana huku kumedoda...
Nipo club hapa DJ anahujumu disko, anapiga nyimbo ambazo 'hazibambi'. Muda wote ananikodolea macho mie nipo kwenye dancing floor...huyu demu ninaecheza nae inasemekana...
IMETOKEA HIVI"
wewe umehukumiwa kifungo cha maisha: mkeo amebaki uraiani, umetumikia miaka 2 katika kifungo ulichohukumiwa, juhudi zote za kutoka zimeshindikana na umeshakata tamaa, mara mkeo...
*Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia wewe sasa hii mara ya pili unakuja hapa*
*Mlevi*: _mbona we kila siku upo hapa na hakuna alokwambia kitu_...
Rais wa Tanzania ni mmoja tu.
Hawa wengine
Rais wa TLS Rumande
Rais wa simba Rumande
Rais wa TFF Rumande
Mwingine akijiita Rais asubiri moto wake.
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa...
*Je Wajua*
wanawake ndio Watu pekee duniani ambao sio wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wacha nikavute nyingine nakuja[emoji124][emoji124]
[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema...
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa...