JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kujua sehemu ambayo naweza kupata kiti moto kizuri maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Asanteni sana.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekula huyu mdudu noah old model sehemu nyingi hapa tz ila leo nimetafuna huyu mdudu hapa ni mtamu balaa! Ndizi pembeni,novida na kachumbari. Ashukuriwe muumba kwa kutuletea huyu kiumbe. Na...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Hawa ni pamoja na rais wa Yanga ndugu Manji, rais wa Simba Aveva, rais wa TFF Malinzi na yule rais wa TLS aitwaye Lisu lakini huyu hausishwi na ufisadi bali uchunguzi ukikamilika tutajulishwa kosa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi kwenye maisha unawazaga nini mimi pesa na mapenz vingine hakunaga kbsssssss Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ipi tamu kuliko nyingine?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu viongozi, Kila kitu kina faida yake na hasara. Ni katika tukio lililotokea juzi, katika maeneo ya kipawa, majira ya saa nne asubuhi. Ni katika majukumu ya kila siku, ya kutafuta...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Utasikia sa ndo nini umenifanya nioge bila sababu Tunachekaga sana
2 Reactions
4 Replies
994 Views
1. Nilipata ajira kupitia ulevi na mlevi mwenzangu 2. Nilifanya maamuzi ya kuoa nikiwa nimelewa, na sasa nina familia 3. Nilinunua viwanja viwili mjini Dsm na nikajenga kupitia mlevi mwenzangu...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
2 Reactions
44 Replies
3K Views
HATA USIPANIKI mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe.... Wewe wajali sana wale rafiki zake.... piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Aseeh, ukiishi mtaani kuna mambo mengi yanatokea saana kimtaa kimtaa maana utakutana na watu wanahasira, wanaokera na wanaoonea watu bila sababu. Mimi kupiga kupigwa yameshanitokea saana...
13 Reactions
202 Replies
12K Views
mwenye buku anisaidie tafadhari #WapostPumba
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Kamba hukatikia pembamba-kosa Kamba hukatikia pabovu- sahihi Mbuzi hula kwa urefu wa Kamba yake-kosa Mbuzi hula kwa wingi wa nyasi zake Endelea......
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi...
16 Reactions
250 Replies
12K Views
Sitaki kuamini ulimwengu unavyoamini naamini inawezekana, nakutafuta uwe muumini wa Kanisa la kristo, uwe unautaifa wa Asia au Latin America, nakutafuta si uwe mwenzi waku isipokuwa mke wangu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A Sukuma friend of mine from Kahama recently bought a new Toyota Premio car (automatic). He drives the car perfectly well during the day but at night the car just won't move. He tried everything...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Kichwa cha habari kinajieleza. ..nashauri kama kweli nnchi ina nia ya kuwa ya viwanda lazima "minds" za wananchi zielekezwe huko. Vipindi vya redio ambazo nyingi ndio husikilizwa zaidi ziwe na...
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Hallow Mtwara! Nataraji kuwa Mtwara Mjini kuanzia Tar.25 September Mungu akipenda! Ni mara yangu ya mwanzo kufika Mtwara. Kwa yeyote anayejua maeneo mjini Mtwara ambako naweza kutembelea japo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni roast na ugali. Karibuni sana.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…