JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mi siwezi mana atakua much know kama mange, mcharuko kama gigi, mashauzi kama diva, akiwa tomboy basi ni chemical, matusi hayamkauki mdomoni kama povu la shilawadu, aaaaaa usicheze na mademu wa...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Nikiwa kama trainee tumetoka field kufika ofisini kila mtu alikuwa na hamu ya kikombe cha chai. Mimi nikiwa mdogo kuliko wote na pia watu hawa ndiyo wa kuni sainia kitabu changu nilizama jikoni...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
666 Views
Hope mko vzr leo hebu leo watajeni Members ambao HAWAVUMI LAKINI WAMO kwa sread zao yani utakuta kila jukwaa kapost lakini doroooo yaani wachangiaji na watoa like wanakua wachache...
2 Reactions
96 Replies
4K Views
He he he, Nilijua tu lazima mkuje, dah!
1 Reactions
3 Replies
806 Views
Salaam Jamani ningependa kukutana na members wa JF walioko Mwanza city ,tupeane madili mbali mbali Ni hayo Tu.
1 Reactions
101 Replies
6K Views
nimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
0 Reactions
61 Replies
3K Views
Tecno m3 Tecno p3 Tecno p5 Tecno h5 Tecno h7 Tecno F5 Tecno F6 Tecno M6 Tecno M7 Tecno c8 Tecno c5 Huwawei Y 300 huwawei y200 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
3K Views
salaam wana bodi bila kupoteza muda nianze na mada moja kwa moja,ni kipindi kama wiki Mbili hivi kila nikiamka asubuhi nakuta mtu amejisaidia (mavi) mlangoni kwangu,na linakokera zaidi huwa...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Habari,habari bandugu.Nimeamka mida najianda kupiga tizi la maana je wewe unafanya nini.Tujuzane...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
kuna pipo zinajikutaga founder za jf nyingine sijui lejendare, nyingine kila kitu zinajua, nyingine it expert, nyingine love doctors, nyingine zimefika kila nchi kama vasco dagama, nyingine...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Watu wamekuwa wakijiuliza sana UPENDO maana yake nini. Je upendo ni nini? UPENDO ni basi la mkoani linalofanya Safari zake Dar es Salaam kwenda Iringa na Iringa kuja Dar es Salaam Kama una tafsiri...
3 Reactions
3 Replies
7K Views
P O L...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Eti ngoja niende kwa mada, huyu housegirl wetu ananilazimisha tufanye mapenzi, mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera, msaada nifanyaje sasa?
0 Reactions
68 Replies
6K Views
*Jana nimegombana na shemaji yenu, akaniambia nibebe kila kilichokuwa changu niondoke basi kwa ustarabu nikabeba nguo zangu nikamchukua na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka naye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnamkumbuka yule Subira aliyekuwa anavuta heri? Siku hizi anavuta bangi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] .. Hate me at your own risk
1 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi mtu akila hasara inafaa ashushie na kinywaji gani?? #WapostPumba
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili Husika na kichwa cha habali hapo juu Kuna baadhi ya watu huwa hatujui tarehe zetu za kuzaliwa na sio tarehetu baadhi hata miaka yetu hatuhifahamu...
0 Reactions
11 Replies
921 Views
MWADILA MABESTITO WANGU WA UKWEEEEEEEEEE Kauli mbiu yangu : "PAMBANA NA ADUI ILI KULETA BADILIKO" Nimeamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kutangaza NIA yangu ya dhati ya kutaka kuwa RAIS wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
UTAMJUAJE WIFE MATERIAL? Mchukue msichana umpeleke gheto halafu MPIME kwa kumpa jiko la mkaa lililo~lowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive...
0 Reactions
5 Replies
988 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…