Habari
Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:
1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko...
*Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi*
*Babu:*Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
*Wajukuu:*Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
*Babu:*...
Kwa wale mabingwa wa kutoa malaani nadhani wanafurahi baada ya kuona fursa hii kwani itawakumbusha mbali sana.kwa sisi tuliosoma shule za uswahilini lazima tulipitia michezo hii.
Weka malaani yako...
Wakuu Naomba niwatetee kampuni ya tiGO.
Leo hii Watanzania wanapiga kelele kuhusu "Jaza ujazwe". Lakini Watanzania wamesahau kuwa uchokozi waliuanzisha wenyewe.
Uchokozi huo waliuanzisha kwa...
Ujumbe wake huu hapa kwa siku hii maalum kwakempende jirani yako kama nafsi yako...ungana na Jr katika siku hii maalum kwake kuwasamehe wote waliokutendea vibaya na kukukwaza nawe utabarikiwa...
Habari zenu,
Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani???
Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa...
Sijajua hasa kwanini kumekuwa na kejeli zinaendelea kuhusu wanume wa Dar
wana nini hasa mpaka wamekuwa wa kutolewa mfano "Wanaume wa Dar"
Ninavyofahamu Dar kuna wnume wa shoka kwelikweli, hata...
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa...
Mume alimpa talaka mkewe ,baada ya wiki moja baba yake mwanamke akafa,yule mwanamke akapewa urithi milioni 100 ,mwanaume kusikia ivo akampigia simu yule mwanamke akwamwambia "nina mimba yako
Dada Riama ally Umekuwa dada Mwema kwangu Namshauri Mzuri sanaa
Pia Kazi zako Zinanikosha
Ni.msanii pekee Usie Na makuu
Mchamungu Na usie penda heka heka
Allah akujalie Maisha marefu Inshaallah...
Nilienda kweny interview ya assistant accountant....mamb yalikuw hivi;
Mr. Maswal; unaonekana umesomea kodi na forodha sasa inakuaje unataka kuwa accountant
Me; huez kujua kias cha kodi bila...
Juzi Kati nilimpiga mpenzi wangu kwa hasira tu kwakuwa alinikera, Baada ya siku mbili kutoka tukio la kumpiga huyo mwanamke namimi nilibananishwa na kuchezea kichapo chenye afya. sasa Leo mama...
Nimefikia kujiuliza hili swali bila kupata majibu.
Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa;
1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa...