amani kwenu wadau
Tangu habari ya msiba wa mume mwenzake mdogo wangu diamond ulipotokea sijamsikia kuzungumza chochote kuhusu kwenda jijini kampala kwenda kuzika
mimi namuomba aonyeshe uanaume...
Leo Bana niliingia duka la simu kwa lengo la kununua vile vitekno vya shilingi 20,000 ila nikamuona bint mmoja mzuri alafu wa matawi ya juu.
mwenzenu nikataka yule demu anione na mimi wa matawi...
*_Mchaga_* hata apate kazi bank bado atasema yupo *kibaruani*.
Acha sasa *_mhaya_* apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia *i work as a crucial engineer in a monocotyledon...
salamu wadau
Vichwa vya habari ya magazeti ya kibongo
msiba wa kitwana kondo
anaeigiza filamu za james bond afariki
mume mwenza wa diamond afariki
yanga yatwaa ndoo
simba wapiga hodi fifa
bongo...
Habari zenu ndugu.Tukiwa tunaokaribisha mwezi wa ramadhani ni vizuri kutakiana mfungo mwema na Allah atufanyie wepesi katika funga zetu.
Ni hivi ni kama wiki tatu tangu tumefiwa na mfanyakazi...
Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa...
Baba na Mama John huwa wanalala pamoja na Watoto wao wawili John ambaye ni mkubwa na James.
Baba na Mama John husubiri Watoto wakishalala na kuanza yao ya Kikubwa.
Siku za hivi karibuni...
Ijumaa Karim wa ndugu,kwa waislam wote duniani tunatarajia kesho kuanza mfungo mtukufu wa ramadhani hivyo hatuna budi kusamehe waliotukosea na kusafisha nyoyo zetu.Lakini kama ilivyo ada kwa...
Habari waungwana wakiume kwa wakike,
Ni mtihani ambao tunakutana nao sisi wakiume kutoka kwa upande wa kike. Pale unapokuwa katika matembezi kitaani ama hata nje ya mtaa, na tunajua kwamba macho...
Habari wana chit-chat
Lejea Mada tajwa hapo juu ningependa tuwe na zile chit-chat ambazo zinaleta tija katika jamii namaana tunapo tambuana kimahusiano kule love connect au vichekesho vya hapa na...
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI
kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa...
Salaaam wakuuu
Poleni Na majukumu Yakutwa
Nimeanzisha Uzi huu maalumu
Tukutane hapa wale woote tulio kuwa tuna piga madufu kuamsha watu kula daku
Maarufu wapiga daku Najua wengi wao...
Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ntadumu hapa mpaka kesho saa kumi jioni. Kisha ntakuwa njee ya hapa mpaka tumalize mfungo.
Nawapenda