jamani mficha maradhi kifo humuumbua kwa heshima na taadhima naomba tuwataje ndugu zetu wenye vyeti feki na wametumbuliwa hivyo hawana kazi za kufanya zaidi ya kushinda wakirukaruka humu ndani ya...
Kitendo cha hawa wanawake Wenye chura kuendelea kuzagaa hasa katika kipindi hiki ,tunachoelekea kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani,wallah umekuwa ukituondolea utulivu,na Umakini hasa katika...
Hizi ni pafyumu zenye sumu,
Ambazo inasemekana kwamba Utakuwa na siku tatu tu za kuishi endapo utajipulizia
Sasa Ukiambiwa umchague mmoja wa kumpulizia, Utamchagua nani?
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI
kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa...
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima
wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti
#WapostPumba
Kizazi cha mwaka 1990 kushuka chini kilipenda kueka #Vitanda karibu na madirisha ili waweze kuona mwezi na nyota wakati wa usiku...;)
Kizazi cha mwaka 1991 mpk sasa 2017 utasikia kina mwambia...
Salaam nyingi sana wanaJF.
Neno 'kismati' limekuwa likitumika kuashia mtu kuwa na bahati nzuri au zali kwa wenzetu vijana huku mtaani.
Wanawake wenye ndevu ni kama wana kismati.Mwanaume...
Katika maisha kila mtu ana maono yake, na sote tuna matamanio yetu ambayo tungependa kuyafikia hata kama hatuna uwezo huo!! Mfano kwa wapenzi wa mpira ukiwauliza ungependa uwe kama nan kama...
Kuna Members wawili ' maarufu ' sana humu JF na ambao pia wameshaanzisha ushirikiano wao wa kutukuka wa Kibaiolojia / Mapenzi ila tokea watutangazie huo umoja wao wa Kibaiolojia ' uchangamfu ' wao...
Visa vya sekondari ni moja kati ya kumbu kumbu zangu ambazo siwezi kuzisahau kirahisi japo nmeshahitimu chuo.
Kuna kipindi nakumbuka shuleni sekondari ukiwa mtukukutu wanampigia simu mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.