*Wanaume wa Dar es Salaam ni waoga sana yaani wameshindwa kumuhoji BASHITE mpaka amehojiwa na wanaume wa Mwanza*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
Jamani tuwaache hawa wanawake waishi wapendavyo.
Mana sasa kila kitu kizuri tunawakataza wasifanye hadi imekuwa kero sasa.
Ndo mana wanatusema wanaume tunalia lia siku hizi...
Habari waungwana, ni katika mfululizo na mwendelezo wa harakati za kimaisha na kimaendeleo. Leo nimekuja na hili la kuipongeza mitandao ya kijamii, hususani jf , huu mtandao kiukweli umenifanya...
Hakika sina shaka na ninachokisema kama unasikia mahojiano hayo yanayoendelea au umeyasikia japo kidogo unaweza kuamini hayo ninayosema
Huyu Jamaa ni mtunzi mzuri wa story maana anayoelezea huku...
Nimesafiri safari nyingi sana na nimeshudia visa vya watu kupata wakati mgumu pale wanapobanwa na haja kubwa na ndogo katika safari, Mbaya zaidi mkiwa high way chance ya kupewa ruhusa kwenda...
Hivi ni kweli kwamba maiti huzuia/kukataa kuzikwa na muda mwngne kufanya hata vyombo vya usafiri kugoma Kwend??
Nisaidieni Jaman maaana hua Napata wakati mgumu kuelewa wana Jf
Habari za weekend wana chit chat
KUNA JAMBO NAPENDA NILIFAHAMUU ZAIDIII KUTOKA KWENUUU......
Katika maisha ya sisi binadamu kila mtu ana kitu chake anapendelea kukifanyaa ...wengine husema...
dah usingzi haupo kabisa,yani kwa sababu yenu nyie jamaa wa voda na limtandao lenu,sijui kwanin mnanifanyia hivi kila siku hasa kwa watu na marafiki nawapenda.
leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege...
Je wajua kua vitu vitamu vyote vinaanzia na neno --ku?????????
Km kuku,,,kula,,kulala,,,kuogaa,,kucheza,,,kusengenya,,n.k
Na km unavingine niongezee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]...
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE:
Alifika mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda mbeya,
Mke akamuuliza...
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia...
Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu
Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.