JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Oyaa kama mtasikia kuna mtu anauza gari Noah New model nzuri ina vibali vyote kwa bei kati ya milioni 8 mpaka milioni 12 rangi yoyote haina shida. we Mwache Tu auze mi sina hela,
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimesoma taarifa ya shedede na husna muba, pia nimesoma yule jamaa aliyekaa siti ya daladala na nyange wa jf na comment kadhaa. kumbe wenzangu mwakulana humu JF? mnatisha kabisaaaa na wala hamtoi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu siku hizi kama mjuavyo yoyote anaeza kumtongoza mwenzake yani mwanamke anaweza pia kumtongoza mume. Sasa we tumetongozana huko, tumekubaliana vizuri tukapumzike mahala flani ( na pengine...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Matangazo ya kibongo shida tupu, inakuwaje mwanaume asifiwe kawa mtamu? Mtamu anajulikana ni mtu wa namna gani! Kwa kawaida chakula na wanawake ndio husifiwa kwa utamu, haya ni mazoea ya kiasili...
7 Reactions
76 Replies
15K Views
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu. 1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja 2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa...
1 Reactions
0 Replies
690 Views
Habari wakuu Namtafuta mjasiriamali wa viungo vya chakula humu JF anaitwa Zanzibar Spices. Tafadhali wasiliane nami ili nimpe oda ya viungo. 0713-039875
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Amna namna wakuu hali imebana sana Ninawajua wanakamati ninaoishi nao jirani, ofisini n.k wapo kama 50 hivi, ebu naombeni mbinu ya kuwaangukia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tuhuma nzito dhidi yenu kuwa siku hizi hamtembei na khanga za akiba kwenye mikoba yenu. Wengi wanasema kuwa nyinyi wadada wa sasa huwa hamchukui tahadhari kabisa Yani mkishavaa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Salam kwenu. Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Kutoka Kibanda Cha TigoPesa: Jamaa Kafika Kuunganisha Kifurushi Cha Muda Wa Maongezi Wakala Akamkaribisha Baada Ya Kumuunganisha Akamwambia Nimeshakujaza Tayari Kwenye Tigo, Kilichofuatia Wakala...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume ni kama kamba za viatu,anatakiwa kupita matundu mengi kabla ya kufunga fundo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna uwezekano wa kupata internent bure kabisa bila kulipia katika mitandao ya voda na Tigo kwa maelezo zaidi fuata profile yangu ya Facebook:www.Facebook.com/Calvi.Nation.Tz Sent from my...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanaume kuanzisha nyuzi kwenye jukwaa hili au MMU, wakiwa tag memba wa kike kwamba wanawapenda sana. Hili limeshika kasi kubwa sana. Inapotokea memba mpya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
*Nasikia* *Mkuu* *kasema* *kama* *unanguo* *zina* *kubana* *usitupe,* *weka,* *zitakutosha* *tuu*[emoji124]
3 Reactions
14 Replies
2K Views
```Je, wajua...```? *Katika maisha yake yote ya _Adolf Hitler_* *hakuwai kusema neno Ahsante na yote hii ni kutokana na kutojua kuongea kiswahili*
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi kumbe si tunavuta subira kuna wenzetu wanavuta bangi
0 Reactions
4 Replies
838 Views
Kwa kweli leo acha tu nitoe yangu ya moyoni. Kila mtu hapa JF anasababu yake ilimfanya ajiunge humu. Kwa kusema ukweli na Mungu wangu ni shahidi, mtu aliyenipelekea kujiunga humu ulikuwa ni...
11 Reactions
151 Replies
9K Views
Just imagine uko njiani unatembea kwa miguu ukiwa kwenye mishe zako.Ghafla unaskia umepigwa kofi zito mpk unafumba macho hujakaa sawa ngumi ya pua mpk damu inatoka ile unataka kukimbia unapigwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom