Habari
Nilitembeaga dar siku za karibuni ila
hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo)
1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever)...
Maana kinachofuata hapo ni mzinga,kibomu ama kirungu cha either gas,luku,vocha ya elfu 20(kwa sisi wahongaji),kodi ya upande wa nyumba au mzinga tu wa kawaida huu wa laki laki za week end.
#mwaka...
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA HALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Wana JF mpogo!
Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.
Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.
Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi
I prefer pesa to maua/kadi
Kagera walilamba pesa za rambi rambi na leo arusha tena wamelamba pesa za rambi rambi.........yaan ni mwendo wa kulamba tu kama ice cream za azam:(:(:(:(:(:(
CHUKUA HII
Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya...
Kwa ambao hawana ajira kwa sasa kuna nafasi ya kazi safi na yenye kulipa vizuri sifa za mwombaji ajue kusoma na kuandika mahali ni KILIMANJARO maombi yatumwe kwa Mbinguni ili mkuu wa kaya alione...
Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...
Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo...
Nawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.Hivi ni baadhi ya vicheko walivyocheka kwenye miaka tofauti.
2002 to 2004-walikuwa wanacheka "hehehe haloooo"
2005 to 2007-wakaja na "heheheee...
Hello chitchat.
Leo naadhimisha miaka kadhaa ya tangu kuzaliwa kwangu.
Am so happy,
Kufurahia nitatumia my real pic . Kwa profile yangu.
Nitakuwepo kujibu swali lolote mbalo mtu angepende...
Natumaini ni mzima na unaendelea vizuri esta, ulie mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la barua hii ni kukueleza tu kwa uwazi moyo wangu hakika unakupenda sana napenda tuwe wote ili baadae...
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI
Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI
Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza...
Habarini
Nimeamua nijithread mwenyewe ahahahahahahahaaaaaa
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata...
Habari ya kushinda wana JF
Nina shida naombeni msaada! Mimi naishi nyumba ya kupanga na mda mwingi nikitoka kazini naingia maeneo ya kupata moja baridi moja moto. Huduma ya choo na bafu namalizia...
Habar zenu wana jf
kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena...
*mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango*
Mazungumzo Huwa hivi...
Wewe[emoji19]: EEEEEH
Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.