JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
What a wonderful blessing to have a birthday like this one! God has favoured you and today is your very special day.... Let's all sing HAPPY BIRTHDAY Lady furahia tunaupenda na kutambua umuhimu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti: "Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!! "Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"...
0 Reactions
309 Replies
58K Views
hivi serikali ikiamu kutoa video ile nyimbo ya taifa shooting ichukuliwe hapa hapa au twende mbele?? wadau #WapostPumba
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kama kuku ni ndege samaki ni meli #WapostPumba
1 Reactions
0 Replies
582 Views
muda mwingine wanaume tuache tabia kujipendekeza. ukiona upo kwenye event halafu mwanamke katoka pembeni kidogo, ujue kaenda kujamba asiharibu hali ya hewa. sasa wewe na kiherehere chako! sorry...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na mvua hizi washkaji, nikitaka kujisaidia napanda kijielekopta kangu naenda chooni dodoma natumia choo kimoja na wabunge, na kurudi zangu fasta
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nani alizidanganya familia za kiafrika kwamba mfagio unakaa nyuma ya mlango!? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nilienda kanisani kutoa Shukrani, wakati natafakari juu ya mambo ambayo Mungu amenitendea kwa Ukuu wake nikakumbuka na Kisa hiki, Uso kwa Uso na Simba. Wakati mwingine katika maisha...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Wadau Uzi Huu Ni Mahususi kwa kujua Couples mbali mbali za Jf Lengo Ni Kuziheshim Izo Couples Na kuzidumisha Ili Zifike Mbali Zaid Kama hauna Kuwa mpole kama mim Chache Ninazo Zifaham The...
8 Reactions
500 Replies
37K Views
Niaje Wakuu nahtaji marafk wenye mitazamo katk maisha, wenye maadili ya kutosha Bila kujali jinsia umri rang wra kabila, Nipo dsm
1 Reactions
14 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavojieleza jamani umu ndani meingia mda ila utaratibu wa umu sijui inakuaje umu ndani maana meingia toka mwaka Jana lakini naona mapicha picha tu ata hii post sijui kama...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Wahenga wamesema "kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" sasa ukitaka kujua kama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake au kwa huruma ya mchungaji kamfunge jangwani.....wahenga muda...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Hivi ni kweli kwa wale wanachama wa CHAPUTA kua hawawezi kusimama kwa mguu mmoja ndn ya dkk 3? Napenda kujua tu kama ni kwa wote au mtu mmoja mmoja
1 Reactions
14 Replies
871 Views
Kama wanafika hatua ya kutudharau hivi basi hata ziara ya huyu Raid wao haikuwa na maaana tena kwetu
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Nimechoka kulipia vifurushi vya TV kila mwezi nataka ninunue yale madishi makubwa naombeni ushauri wadau
1 Reactions
0 Replies
506 Views
Nikiwa mitaa Fulani hapa katika jiji linalotamaniwa na wengi hapa Tz. Nikawasikia kinadada wakipiga story. Dada wa kwanza; Hii mvua jamani haitupi nafasi hata ya kupumua.! Dada wa...
10 Reactions
104 Replies
9K Views
Umekuwa ukisikia mara wajenga walisema hivi Wahenga walisema vile Leo hii wahenga wameonekana huko morogoro wakiwa chimbo wanavumbua misemo mingine
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ona sasa kama huyu binti mbichiii.!!!!!Kutwa kutupia mapicha instagram na vichupi. Miaka inaenda wanakosa hata wa kuwaowa kutwa kupishana kwa waganga kututengenezea limbwata. Mwanaume gani...
7 Reactions
49 Replies
9K Views
Ukibeti... Hope for the best but expect the worse! Ni hayo tu kwa usiku wa leo...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Back
Top Bottom