Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF?
Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!!
Tena wale wanaokuja...
Nakushukuru Muumba kwa kamjalia Mama yangu kunileta duniani miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo, sina cha kukupa ila nakupenda sana Mama. Happy birthday 2 me
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe...
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu...
*Difference between TANZANIA , UK and USA.
Wale hawajui kiingereza nimesema "Tofauti kati ya TANZANIA, UINGEREZA na MAREKANI..
*Kumtambulisha mke:-*
USA - this is my lovely wife.
UK - this is my...
Imagine mtu ambaye hajajiunga humu jf akakuuliza tangu ujiunge jf umepata faida kwa kiwango kipi na vitu gani umepungukiwa baada ya kujiunga humu ?
Mimi tangu nijiunge humu JF baadhi ya vitu...
Jana ndo nimeamin wahenga wazushi kweli! Nilikuwa sina usingizi na nahitaji kulala. Bac nimeamsha watu 9 lakin wapi. Si walisema "USIMWAMSHE ALIYELALA UTALALA WEWE" Ebwanaee bac nimewaamsha watu 9...
Daah nimebadilika sana ile self control niliyokuwa nayo miaka yote imeisha.....nmeanza kuzoea matusi kuwa lugha ya kawaida kwangu sasa sio maneno tu hadi vitendo sasa vinaashiria Napotea...
wakuu kwa wale old schools wenzangu,hivi haya mambo ya mchaka mchaka mashuleni yalifia wapi?
kwanini walitukimbiza vile kipindi kile,hadi leo nimeshindwa kuelewa faida/hasara ya mchaka mchaka...
wale wenye haraka ya kuolewa inawahusu.
Madonna alikuwa na miaka 55 alipata mume mwenye miaka 22
Tiner Turner miaka 70 mume 42
J. Lo miaka 42 boyfriend miaka 26
Mariah Carey miaka 44 mume miaka 32...
Siku yako ya kwanza kuangalia Video (television) ilikuwa mwaka gani?
na ulijisikiaje kama unakumbuka ulikuwa mkanda gani?
Mi nakumbuka ilikuwa mwaka 2003,kijijini kwetu huko Morogoro TV ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.