japo kila mtu yupo huru kuanzisha thread humu wakati wowote naomba tufanye kitu kimoja
hapa tutapost mambo mbalimbali madogo yanayotokea majumbani kwetu,mfano chakula,sabuni za kufulia,dawa nzuri...
nimekutana na polisi wameniuliza kwanini natembea usiku nikawaambia sasa mnataka niogelee?........saiz nipo kwenye difenda nahisi wananipeleka home...........good night fellas
#WapostPumba
Wanyama wangekuwa na WHAT'S UP.
Status zingekuwa:
MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "
PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu...
habari wana jf,
kuna kitu kinanikwaza na kunipa shauku ya kujua.
nimezaliwa kwenye jamii ya kitanzania..nimekulia mji wa dar na elimu yangu nimeipata hapahapa.katika malezi yangu haya nimeshuhudia...
*[emoji23]Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.[emoji23] Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi...
CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za...
leo niliacha maji nje kwenye ndoo nilitaka kwenda kuoga, wakati nipo ndani mvua ikanyesha nikatoka nje baada ya mvua kuisha ili nikaoge nimekuta maji yangu yote yamelowa, nimekasirika kweli...
#breaknewz Bwana Harusi Amewaacha Watu Hoi Harusini Baada Ya Kupanik Pale Wadogo Zake Wakiume Walipoenda Kumtolea Zawadi Huku Wakisindikizwa Na Wimbo Wa Msanii Wa Singeli Maarufu Kama Manfongo...
Habari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima...
*Stress ni pale unapomwuliza mkeo kuwa hivi Huna boyfriend atukopeshe hela? Na yeye anakujibu kwani ulikuwa unataka kiasi gani nimuulizie?*⚰⚰⚰⚰"
...napita tu...
wahenga walisema "mwanzo mgumu" sasa ukitaka kujua kama mwanzo ni mgumu au mwepesi panda mlima kilimanjaro mpaka kwenye peak hapo ndio utajua kama mwanzo au mwisho ndiyo mgumu?? hapo ndio utajua...
Happy mother's day!!!
Shkamooni akina MAMA wote mliopo JF tunawapenda sana,
leo kwa kuenzi siku ya kina mama duniani napenda tukumbuke mambo mawili matatu ambayo yashawah kutokd huko nyuma enzi...
She posted : What God has given me, no one takes away from me.
I COMMENTED : Where's your virginity?
She blocked me!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.