JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
akiwa na furaha analewa akiwa na huzuni analewa akipata pesa analewa akikosa pesa analewa akiwa na mawazo analewa asipokuwa na mawazo analewa akiwa na matatizo analewa asipokuwa na matatizo...
1 Reactions
1 Replies
866 Views
Jibu ni NDIYO! Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanywa hv karibuni nchini Usa & Great britain, and then kuripotiwa na Jarida la New study, umebainisha kua wanwke wenye matiti makubwa...
0 Reactions
22 Replies
22K Views
Zamani ulipokua mdogo ulikua unasema eti "WAKUBWA WANA FAIDI SANA".Sasa basi leo umekua mkubwa njoo utuambie unacho faidi saizi.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
haraka haraka haina baraka ngoja ngoja huumiza matumbo mbona vigeugeu nyie :confused: hivi hawa wahenga walikuwa wanafikilia kupitia wapi?? #WapostPumba
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Hii inafuatia mfanyakazi wetu kustaafu kwa hiyari hivyo inabidi tujaze nafasi Nafasi: Gavana Elimu: Kujua KUSOMA NA KUANDIKA tu. Management haitajihusisha na kutaka kujua una vyeti gani...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Habari wandugu. Kuna hili jambo ambalo kwa mtazamo wangu nimeona ni la muhimu kushirikishana kutokana kuwa kwa sasa limeonekana kuwa ni tatizo komavu kwenye jamii zetu. Tujifunze kuchukuliana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya makampuni huwa yanagezana promo, mmoja akianzisha halichachi mwingine utasikia haliishi, mwingine utasikia hatupimi, sasa tayari mmoja kaanzisha jaza ujazwe, si ajabu zantel kule zenji...
1 Reactions
3 Replies
931 Views
ukidondosha kioo cha kujitazamia kikapasuka utapata miaka saba ya mikosi na mabalaa ukikutana na paka mweusi njiani ni mkosi ukilala na viatu ndani huku kimejigeuza juu chini ni ishara ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Waungwana hamjambo! Najitokeza leo kuwatangazia kuwa baada ya mfungo wa kwaresma, mimi Tutor B nitafunga ndoa na Chikira Mtabari, kwa wale walio tayari kushiriki kwenye hafla ya kipekee tafadhali...
12 Reactions
222 Replies
10K Views
Habari wadau wa JF, Nipo Magomeni mda huu mitaa ipi hususani kwa Kagera maeneo yapi club nataka kujiliwaza mda huu.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Chizi kaanguka toka kwenye gorofa fasta watu wakamfuata kumsaidia wakamuuliza:- VIPI IMEKUAJE? Chizi akajibu:- HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine 1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Mimi ni mwekezaji mwenye nia hasa ,ya kutaka kuekeza karoho kangu ,mahali ambapo katakuwa safe ,ili kujinusuru na rabsha rabsha za jiji hili la daslamu na milio mingi ya risasi inayorindima kila...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
11 Replies
938 Views
*MAMBO YA FEDHA* *Kuna jamaa alipewa shilingi 3987698237982...acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi T...safi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani twende mbele turudi nyuma.Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae inauma sana Au sio?
4 Reactions
75 Replies
10K Views
Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au? Dulla Mwasiti Mwanne Chausiku Dotto Kulwa Chogo Hakunaga Chaurithi Chizi Yahya Kadu Shebby .... .... Ebu ongezeni nanyi basi...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Wewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu wengi wetu hatujui historia ya koo zetu Na namna tulivyokuja kuzaliwa,wengi wetu huishia kumjua babu Ana bibi tu,basi Leo tudadavue Asili ya koo zetu, Maana tusipo Fanya hivyo ni rahisi...
0 Reactions
145 Replies
8K Views
Back
Top Bottom