Wadada hebu leo naomba mnipe ufafanuzi kuhusu hii kauli yenu ya Kusema kuwa mmechezewa.
Hivi kwani mkigegendwa kwenu ndo ni kuchezewa.??
Kwani hiyo kitu imeumbwa kwa kazi gani...
Jamani nisaidieni mimi nategemea kupata Kasichana humu JF...lakini kila nikaa..nashindwa kujua Hii ni ID ya mtoto wa kiume au wa kike....
Je nitumie njia gani kujua kama ni wakike au wakiume...
Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakisema hili neno la kifo cha Mende, sasa nikawa najiuliza hili neno huwa lina maana gani?
CC:
Asprin Kaizer, mwekundu, BAK, Ruttashobolwa, Bujibuji, Mentor...
Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule...
Twiga hawa wamekuwa wakizagaa hovyo maeneo mbalimbali ya jiji.Juzi niliwaona kariakoo leo nimewaona Kino.Wiki iliyopita niliwaona wengine maeneo ya Coco beach.Na kila wanapopita nimekuwa nikisikia...
Leo tarehe 12/05 ni siku ambayo sisi member wenzenu wa jf tulizaliwa.
Tunamshukuru mungu kwa kunifikisha hapa pia tunajiombea maisha marefu yenye baraka tele.
Ushawah kuvuta bangi bila kula
Tupe uzoefu
Mi naanza kama hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuvuta bangi mpaka rafiki yako anakwambia kesho harusi ya dada yake wewe...
Boy:- hallow
Dem:- hellow
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious A. K. A dope girl
Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby...
Kuna siku nilikua nasafisha masikio yangu naamin kila mtu anajua ile raha ya cotton buds mara zinapoingia kwenye sikio kuna raha fulan ambayo tunaipata ni ngumu kuelezea na shart lazima jicho...
Habari wanajf,Kati ya matusi ya kingereza na Kiswahili ni yapi yanaumiza pindi unapotukanwa?
Je wewe unapenda kutumia matusi gani kati ya hayo apo juu?,tujuzane tafadhali.
Huwa naona video za huyu jamaa mara kadhaa akihutubia(sina hakika kama ni msikitini au wapi) lakini maudhui yake huwa ni kuhamasisha ngono tu kupitia dini ya kiislamu.
Nataka kujua kama jamaa ni...
Kwanza kaeni mkijua,Hakuna mwanaume aloleta mvua ,wala mwenye uwezo wa kuleta mvua ,Vitendo mnavyotufanyia kipindi hiki cha mvua kaaeni mkijua mungu anawaona ..!
Mvua hizi zimetuathiri sana...
Habari za wakati huu great thinkers..kama ambavyo kichwa cha habar kinajieleza hapo juu..nimekuwa nikisia sikia maneno mengi watu wakimuongelea faru John.huyu faru John ni nani?nini kilimkuta??na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.