Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.
Ngoja niende kwenye...
Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana JF wote mnaopatikana Iringa leo naingia Iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu...
Habari za saa hii wanajamvi..
Naimani wengi wetu tume kwenda shule na haka tabia pia kakubatiza walimu majina wengi wetu tulikuwa nako...
Nikianza na mimi Sec kulikuwa na Mwalimu wetu wa civics...
Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule.
Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni.
Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia?
Mtoto: Baba elimu haina mwisho...
wakuu jf habar
najua mko nahuzuni sana kwa msiba nilisikia pale juzi ilikuwa 6th/may kwakweli najua taifa liko kwenye majonsi ya hali ya juu kabisa
nachotaka kujua ni jinsi gani naweza kuandaa...
SIZITAKI MBICHI HIZI
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini...
Nimepita shortcut makaburini nikakutana na tudemu tuwili tukasema tunaogopa....
Nikatuambia hata mimi nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa.... Guess what happened..!
UKIWA kama mdau wa starehe na mpenzi wa KWENDA night club hebu tujuzane ni tukio gani lililowahi kukuta ndani ya club ambalo hutolisahau.......
Mimi upande wangu ni matukio matatu...
Kuchanganyikiwa ni pale, unapomwagiza jamaa yako wa karibu, akutumie million 2 kwa M-pesa ukalipie ada ya shule ya mtoto, baada ya hapo jamaa anakutumia muda wa maongezi wa million mbili...HAPO...
nawaza dizain inaweza kukaa poa kama chalii za kenya tukutane hapa tujuane tupige mastor, tubadilishane mawazo oviaz mi niko na siku moja tu humu jf napenda kuwafahamu watu kuchomoka kenya...
mume na mke walikuwa wanaset password katika computer yao mpya, mambo yalikuwa kama hivi:-
mume: naandika neno "my-penis"
mke: hahahahahhahahaha
mume: unacheka nini??
mke: angalia hapo kwenye...
Wakuu sio siri saiv MMU kumenoga,naona huku chit chat wanaume weng tunalalamika kuwa wadada wote wapo in pair na majamaa..sasa nimepita uko love connect ase katika zile threads za mwanzo wamejaa...
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara...
wafanyakazi wa tv1 wanafanyakaz kazi gani?maana sioni zaidi ya vipind vinne tu kwa siku nzima muda mwingine uliobaki ni kfs sasa wanapoteza wateja watazamaji sababu wengi wetu tulipenda vipindi...
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,lakini je wanajifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.