JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii ilikua Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania,kulikua na mambo mengi Soka,kikapu,pete,kurusha Kisahani,Tufe,kukimbia,kwaya,hesabu klabu,lugha klabu...nk,ilikua burudani kwa kweli...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
14 Reactions
328 Replies
13K Views
1. Bashite 2.Malinzi 3.kim 4.trump 5... Ongeza wako ambae na ww hupitishi siku unamwongea.
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wanabodi! Naomba kuuliza kama umeshawahi kuwa na fake ID kwenye any social network. Kama jibu ni ndio tueleze ilikuaje ukawa na fekero akaunti na ulikusudia nini? NB: ID za jf hazihusiki...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
jana nilienda kununua parachichi la 500 nikaomba mfuko muuzaji akanambia hatoagi mifuko kwa vitu chini ya 1000.......sasa leo nimeenda kununua vocha ya 1000 nikaomba mfuko mpaka sasa bado...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jarida la Independent wametoa list ya Nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na mambo maarufu yanayofahamika na kuwa kama tamaduni katika nchi husika. Nimeshituka kuona Bongo (Tanzania) ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
mi ningepewa nafasi ya kuwa mod angalau kwa dakika kumi tu, kitu cha kwanza kukifanya ni kuwapiga ban wale pro lumumba wooote wakiongozwa na barafu ya moto na MOTOCHINI. Je wewe ukipewa nafasi ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mheshimiwa ukitoka kwenye uhakiki wa umri njoo kwenye uhakiki wa rangi za ngozi maana watu rangi zao za shule ya msingi na sasa vitu viwili tofauti na hawa wako zaidi ya 90,000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dah! kweli tunaisoma namba. Hadi kumbikumbi wamegoma kutoka kipind hiki watu wapate mboga [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna watu wakati najiunga JF walikuwa hawakosekani jukwaani lakini sasa hivi hawaonekeni:- 1. Supermarket 2. Technical 3. Shibe kijijini Nimewakumbuka sana Nawasilisha
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Nakisikia kwa mbali hapa Radio One, akichangia mjadala wa madini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau Napenda kuwataarifu kuwa mimi ni mzibua vyoo mashuhuri na mahiri katika kazi hiyo kwa wanaume na wanawake kama una matatizo ya kuziba choo chako ninao uzoefu na ujuzi na nazibua bila...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamani wacha Mungu aitwe Mungu, Mungu kaumba jamani kuna movie wadau nilikua naangalia dah mtoto mzuri balaaaa asa uko peponi sijui kuna kuwaje????? aise nimeona ni express my appreciation kwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Lupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
je wewe ni model wa kike?? una umri kuanzia miaka 22 hadi 30?? unapenda kusafiri sehemu mbali mbali duniani?? unajua english kusoma na kuandika?? una passport?? kama vitu hivyo vyote unavyo basi...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Binafsi nachukizwa na tabia za washikaji wakitoka kujisaidia uchochoroni ama baa, mtu hajanawa na kuna probability kubwa pumbu zake si safi au kama kanya hajajichamba vizuri. Atarudi kukaa na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna hili swala moja ambalo silielew na hutokea kwa jinsia zote mbili WANAWAKE: Hiv upande Wenu kwann mnakua wakali sana mwanaume anapokuja kwako na kukwambia anaomba mgegedo kwa Ile ya moja kwa...
10 Reactions
91 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Back
Top Bottom