Wakuuu za saa hizi?
Siku hizi kila nikikutana na mtoto ambaye ninamzimia huwa dushe likizama wazungu wanatoka faster mpaka naulizwa unaumwa.
Nimepiga mdalasini na asali ila hola
Nimeeenda gym...
Niende moja kwa moja katka mada, around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu. Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango...
#Ni sawa na kuwa na namba 500 kwenye cm yako afu ukafuta namba 499 namba inayo baki ndo mke.
#JE unaweza chati na namba moja maishani mwako mwote...?[emoji29] [emoji1] [emoji2] [emoji28] [emoji28]...
Yaani niko moto ni vibaya, nimenunua nyembe ka dozen kazima. Kuanzia saa mbili mpaka saa hizi nahangaika na wembe tuu, yaani kidevu kinawaka moto, kwapa linawaka moto, na huku kunako pia moto...
Habari Wakuu, Natumaini mpo poa huku tukiwa tunaendelee kumuombea Maxence Melo na familia yake.
Kwako Mshana Jr natumaini u mzima, mimi na familia yangu ni wazima kabisa. Dhumuni la waraka huu ni...
Kwa Mfano Yule Dada Wa Kwenye Tangazo La Cocacola Angekua Anafanya Kazi Kwenye Choo,
Arafu Anakuambia Umejishindia Haja Kumbe Bure Unye Hapahapa.
Arafu Anakurembulie Vile!!!!
"UNGEKUA WEWE NDIO KINYOZI..UNGEFANYAJE??!!"
JAMAA; Oya Dogo Ninyoe Fasta Fasta,! Na Ole Wako Unikosee!!"
KINYOZI; poa usiogope!
JAMAA; Sasa Niogope Nini Kwa Mfano Yani!!"
KINYOZI; sorry bro...
Wakuu nina Gundu au? Maana nasikia wengine wamefunga pm zao kwa kulemewa na msg , au hawataki hayo mawasiliano,
Mimi nayapenda jamani.
Mimi hata 1 tu sijapata
Tutakayoongea huko ni siri yetu
"Mwanangu *soma* la sivyo *utaishia* kuwa *mbunge, waziri au mkuu wa mkoa"* Alisikika mzazi mmoja akimwambia mwanae[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.