JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari njema kwa watanzania wooooote waliogushi vyeti Hakikisha unakuwa mwanasiasa kabla hujakamatwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
6 Reactions
14 Replies
2K Views
*Ndugu yangu Mkiristo na Muislam chukua tahadhari mapema sana, usije ukaenda KFC au cafe yoyote ukala* *vyakula kama pizza , chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani...
2 Reactions
3 Replies
800 Views
Habari wana JF, Kwendana na tathmini yangu binafsi ninaona kwa hii hali ya ugumu wa Ajira na ugumu wa mzunguko wa Pesa, kuna vijana wengi mno wako mitaani ambao hawana kisomo wala vyeti wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetafakari na nikatamani kukumbusha na wewe hasa wakati huu ambao maisha ni magumu kwa watu wengi na tunapita kwenye upepo unaohitaji matumizi makubwa ya akili na ufahamu. Kwa Kiasi kikubwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni
2 Reactions
13 Replies
909 Views
Ombi kwa moderator wafutwe nyuzi za kutafuta wachumba humu maana wengi wao wapo kimasihara zaidi na kuchezea akili za watu Utakuta mtu ni me lakini anajifanya ni ke kutafuta wachumba kwa nia ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Sasa ni rasmi serikali imetangaza ajira mpya kwa watu wote waliyomaliza vyuo kwa ngazi zote tena zoezi hili litafanyika kabla ya May .1. 2017 pia serikali imetangaza kuongeza mshahara kwa 45%...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Unataka mwanaume atakaye kulinda na kukujali alafu ukitongozwa na mlinzi unakataa[emoji23][emoji23][emoji23]wanawake mmenishinda..
6 Reactions
31 Replies
2K Views
"Mwanangu *soma* la sivyo *utaishia* kuwa *mbunge, waziri au mkuu wa mkoa"*
1 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
10 Replies
827 Views
Leo ndio mara yangu ya mwisho kuchati humu jf nitakuwa naingia mara moja moja sana kusoma mada mbaalimbali niambie neno lolote lile unalojiskia kwa mara ya mwisho Na wale wapenzi wangu namba...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
1-Msichana mwenye ndoto za kuolewa na mtu mwenye mafanikio wakati yeye anamiliki lipstiki & wanja tu anahitaji maombi 2- Bora kupendwa na mtu mwenye tabia za kimalaya, ukimfumania unamtema kama...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
yeyote mwenye nyimbo ya mr blue mboga saba anitumie, nna kiporo changu cha ugali nataka nile #WapostPumba
1 Reactions
1 Replies
37K Views
Binafsi huniwia vigumu sana kujibu haswa ninapokutana na swali kama hili "kupenda ama kupendwa" watu wengi husema kupendwa raha na kwa upande wa pili husema kupenda shida maana sio kila utakae...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani Amanda Poshy tangu ni post ina maana hujasoma au ndo kiburi?! Nakupenda we mdada jamani mwaga manyanga huko uliko mwenzio nateseka. Dah! MUNGU fundi
3 Reactions
28 Replies
6K Views
ingekua kufanya mapenzi inaonyesha last seen kama WhatsApp, messenger ama badoo! nadhani kuna watu wangekua inasoma online wakati huu!! tena na haka kabaridi nafkiria kuna watu unaona last seen 1...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani kwa ninyi wa fanya biashara za madini naomba kujua soko la madini aina ya spinel soko lake bei yake na size yake tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
499 Views
nimekumbuka zamani hyo nikiwa nanyonya tuburudike
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Wengi wetu tuna shughuli nyingi za kufanya katika siku na masaa 24 yanaweza yasitoshe kufanya shughuli zetu zote. Je ukapewa masaa 3 ya ziada kwa siku, utayafanyia nini?
0 Reactions
35 Replies
2K Views
    
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Back
Top Bottom