JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aliekula hela ya Hashim ayirudishe. Mataokeo yanaonyesha aliongoza kutoka chini
4 Reactions
1 Replies
684 Views
Utakuta pale Mtu Umeme unapokatika tu Nyumbani Kwake ikiwa ni usiku basi utaona anakimbilia ama dirishani au nje kuangalia kama kwa Majirani zake nao upo au umekatika kama Kwake AU kama ukikatika...
1 Reactions
4 Replies
878 Views
Mume: upo wapi? mke: nipo church bae mume: mpe simu yesu niakikishe
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia na nikagundua kuwa aina ya movie unazozipenda ndivyo tabia yako ilivyo. Maana unapofuatilia zile movie kuna vitu unachukua na kufanya kwenye maisha halisi...
6 Reactions
103 Replies
16K Views
Leo tuzungumzie mazingira ambayo huleta utata katika mahusiano ambayo huweza tokea mfano; Simu ya mwenza wako inapata tatizo ambalo kinasababisha simu kutofanya kazi siku zaidi ya nne, unaamua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA, IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
kitendawili....?? mwalimu: zilienda zikarudi wanafunzi: points za Kagera Sugar [emoji23] [emoji23]
2 Reactions
2 Replies
832 Views
Kati ya mwanamke na mwanaume nani anakuwa na nyodo zaid anapojua kuwa anapendwa sana?
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Wafanyakazi wa serikalini mnaraha, nimetoka kumtembelea jamaa yangu anafurahi kupata mshahara Leo tarehe 20. Hongereni Sie acha tuisome namba.
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Wana jamvi yani mimi nimenunua King`amuzi ili niweze kufatilia vita mubashara alafu Trump analeta woga wake anakimbia uwanja wa mapambano ...!! Sijui kule Pasific alifata nini?? Mwenye parachichi...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Hivi ushawahi kukutana na hii kitu , Mie ishanikuta kitambo hichooo, Unajikuta umemzimia bint flani ila unakosa ujasiri wa kumtokea, Na ukute hapo ww ni cocha mzuri wa kuwapika wenzako ila...
10 Reactions
125 Replies
7K Views
JE!!!? 1:una chunusi,harara,vipele ama tatizo la ngozi? 2:Umepasuka miguu (magaga)? 3:unapata miwasho sehemu za siri,harufu mbaya na UTI ama FUNGUS za mara kwa mara? 4:una jasho kali,harufu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Akyanani mtaniua nyie watanzania! Kaja demu m1, demu tuuuu demu kanitoa faceboook yangu, kaja inboboooo, dada penny dada penny, my one and only 911, i need your heeeeeeelp! Money Penny: haya...
2 Reactions
112 Replies
10K Views
hivi neno "kifo cha mende" kwa kingereza inaandikwaje??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nitakuwa Live Facebook ifikapo saa nne usiku nikiendelea na somo la utasa....kaa tayari kunitazama. #Prophetic Machine. #Prophet Linus Tesha.
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Tangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S) Sijui shule nilisoma vyanini[emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] kuchoshana...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu leo nilikua najaribu kukumbuka baadhi ya matukio ya kijijini wakati wa sikukuu kama Nane nane, mwaka mpya, Christmas, Eid, Pasaka n.k Kuna mambo nikikumbuka nacheka sana[emoji23] 1. Siku...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Umewahi kuwaza kwamba vipi kama matumizi ya id yako humu ndiyo yataamua bei utakayoiuza id husika? Yaani ukiangalia id yako na kuona namna unavyopanga hoja, namna unavyojamiiana na wanajf...
1 Reactions
219 Replies
8K Views
Wapendwa binafsi nimegundua usipokuwa mwangalifu utajikuta unaingia jehanam kwa ajili ya simu hizi. Hebu kila mmoja aseme alilowahi fanya baya kupitia simu yake
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom