Je ww ni msichana mwenye miaka 22-30..
Na unapenda kufanya shughuri za mitindo(modeling)...
Unapenda kusafiri nchi mbali mbali duniani?
Unajua English?
Una passport?...
Kama jibu ni NDIO basi uko...
Mi nakumbuka siku fulani mwaka nimesahau niliwahi kukutana na uzi jamaa anawadiss Wanafunzi wa vyuo wanaoning'iniza vitambulisho hata wakiwa nje ya chuo. Basi akatokea jamaa akamquote "Kwani kuna...
SIPENDI TABIA HII MIMI
*Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfuata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama...
Ndugu wanaJF,ninashida katika kujiunga account ya Twitter,kila nkijarb kujiunga inaniandkia "unfortunately Twitter has stopped" msaada wako ni wa mhm sana kwangu
Nyimbo gani umewai kupewa kama 'dekisheni' kutoka kwa mpenzi wako ambayo hutaisahau au ukiiskia unakumbuka mbali? M naanza na wimbo wa aslay ft mh temba unaitwa niwe nawe kila nkiuskia namkmbuka...
wakuuu!
Najua walevi wapo wengi tu humu, wenyewe ukiwakuta maeneo yao ya kujidai vitu vyao wanaviita vyuma au vyombo
sasa hebu tusaidia kutaja aina yako mvinyo ambayo for your taste wewe umeiona...
Wakuu Sana.
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa mabandiko ya wazee wangu "naamini wazee kwa Busara zao"
1. Mag3
2.Nguruvi3
3.TUJITEGEE
Sasa gafla naona wamesimama kubandika mabandiko yao pale UWANJA...
Wakuu
Naombeni ushauri, toka wiki hii imeanza napokea simu za kuombwa ela tu. Sio ndugu, rafiki, mpaka mpenzi wangu
Yani mpaka kufika Leo Ijumaa nimeshapigiwa simu zaidi ya 10 kutoka Kwa watu...
KUHUSU AFYA YANGU Deogratius Kisandu.
1. Mimi sina UKIMWI hata chembe, na wala sijawahi kuwa na VVU, utajibeba wewe usiye jali afya yako. Utakufa na UKIMWI mwenyewe, utashangaa Deo anadunda tu...
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta marafiki hasa wasichana kwa wenyeji wa Dodoma cause nipo so stressed so nahitaji wa kunipa company hasa wakati huu ambao nahisi kama dunia inanielemea ila asiwe...
Habari zenu,
Katika tendo la ndoa, anayetumia nguvu kubwa ni mwanamume na ndiye muhanga mkuu wa kudhoofika kiafya, ikatokea unaona mwili unazidi kukosa afya , ukafikia hatua ya kumwambia mkewe...
Habari za mwisho wa juma,
Salamu hizi zikufikie ndugu Behaviourist popote ulipo.....
Baada ya salamu hebu nieleze kinaga ubaga..... kulikoni wewe na Kasinde ambaye ni Kasie.. . Maana huishi...
Ilikuwa mida ya saa 8 mchana nikiwa nimechili geto najalibu kuperuzi simu yangu uku nikichat.
Geto chumba kidogo sana mwa mwezi nalipa buku teni, kuna joto sana mchana.
Ugumu Wa maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.