Jaman tatizo langu sielew...mwenzenu toka yaanze maswala ya vyeti na mambo ya kutena mm kwangu imekuwa tofauti yani kila kisikia wakiongea habari za siasa uume wangu unasimama ni saidie jaman...yn...
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D²,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani...
utasikia oooh mtoto alali mapema ndio maana akui
unajua mm nilikaa nikafikiria mtoto anakosaje kukua kisa halali hapo niligundua kuwa walikua wanalenga kuwa mtoto hakui mpaka awe na mdogo wake...
utasikia oooh mtoto alali mapema ndio maana akui
unajua mm nilikaa nikafikiria mtoto anakosaje kukua kisa halali hapo niligundua kuwa walikua wanalenga kuwa mtoto hakui mpaka awe na mdogo wake...
Mhaya mmoja alienda sehemu ya kupak magari ghafla kila upande anaoangalia kuna benz la m 500 m 600, na yeye yuko na vitz yako. Basi kwa aibu ikabidi aulize sehemu ya wenye full tank wanapak...
Mhhhh
Jamaa hapo alipo kwa jinsi alivyokuwa na Hasira na yule dada yaani hapo alipo hata saivi anatamani mr kipanki mda wowote arudhe kombora moja litue Los Angeles pale
[emoji23] [emoji23]...
Wahenga walisemaga eti ukimcheka mtu unakuwa kama yeye sasa ngoja mie leo nicheke
"Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] BAKHRESA hahahahahaha[emoji14]
[emoji13] hapo ndo utajua kwanini...
Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili...
Kwa muda sasa tokea Mwanangu atimize miaka miwili ( 2 ) amekuwa na tabia za kupenda kulia lia sana na nikawa napatwa mno na hasira hadi kufikiria niwe ' namlambisha ' tu vibao kama vile...
*Story ya Mabangi..*
```Baba kutoka Mashambani alipata Safari ya kwenda Mombasa kwa Biashara. Baada ya Wiki moja, akampigia Simu Mtoto wake Mabangi kujulia hali ya Nyumbani.```
*Baba:* Alooo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.