WAKINGA KWA BIASHARA
Ona tangazo la biashara kwenye Duka la sanga
Pata sukari,mayai,baiskeli,kanga,pilau,wali kuku,sambusa,tairi za trekta,madaftari,bia aina zote,petroli,dizel,matunda,socket za...
Habari za pasaka wapedwaaa pamoja na uchoyo wa mialiko ya pasaka nimekula mapochopocho kwa lazimaa...........Niende moja kwa Moja kwenye madaaaa....
Jamani Leo ni Siku ya kuzaliwa ya Isaac...
Nimeona nikuletee sampuli za utongizaji za wanaume wa kinaijeria kulingana na taaluma zao.
Mwanafunzi wa kingereza.
I no sabi blow English but I fit tell you say I LOVE YOU.
MAANA:I know i dont...
Habari zenu wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa nikijiuliza hii hali ni kwa nini mtu unapokuwa na kitu kizuri kila mtu anakitaka awe nacho ila wengi huumia sana. siku ikitokea umekipoteza watu...
Watu wengi tunaanzisha thread tofauti tofauti swali langu Leo ivi ni Uzi/thread gani ulipata comment nyingi na IPI ulipata comment chache unaweza kutupa sababu kwanini zilikuwa chache na kwanini...
Kuku, Bata na Mapochopocho kwa wingi...Si mnajua shemeji yenu anapenda misosi. Baada ya hapo ikaonekana isiwe tabu, ngoja tukajiachie maeneo fulani hivi tuondoe chumvi ya mwili.
Basi, tukafika...
Bill Gates, Mark Zuckerburg, Donald Trump, myself and other billionares would like to wish you a HAPPY EASTER.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]...
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe...
Nimerudi mjengoni tena baada ya kuwekewa kauzibe na watu Fulani ila nawapa pole sana waliofungiwa nyuma yangu na kundi hilo hilo la watu pole zenu ziwafikie Hollygrail, matola, bilionare pitgan na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.