Kukaa na kucha katika mwili wako kama huzipi huduma nzuri ni kero na pia ni hatari kwa afya yako,leo ngoja nikufundishe jinsi ya kuepukana na kero hii katika maisha yako yote.
1.Chukua kifaa chako...
Nimepita zangu SHORTCUT ya makaburini
nimekutana na warembo wawili wanatetemeka,
wakanikimbilia eti! wanaogopa kupita
makaburini,, basi na mimi kwa mbwembwe
nikawajibu "Hata mie kipindi nipo hai...
Nimeipata hii katika moja ya mitandao ya kijamii, ni vyema tuka'share' ili kila mmoja wetu ajitathmini ameguswa kiasi gani katika makundi haya chini, hasa wakati huu wa Pasaka.
Tafadhali...
Huu ni kweli kuwa kila kabila lina uzuri na ubaya wake. Najua pia swala la uzuri au ubaya ni relative ( inategemea vile aonavyo mtu), tuongee hapa kwa ujumla.
ELEZA UZURI TU USIELEZE UBAYA WA...
JOB INTERVIEW MP
OFFICER:- What is your name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- In full please
Monday:- Monday Paul
OFFICER:- Your father's name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- What does that mean...
NATAKA NIJITOE OUT MIDA HII ILA NIMESHAKULA PIA POMBE SINYWI.ILA SIJISKII KUKAA HUMU NDANI NIMEPACHOKA NIENDE WAPI JAMANI MAANA BEACH NAKO HAPAENDEKI HALI YA HEWA SIO.WAPI NAWEZA KWENDA...
Daktari alikuwa anamuandaa Mgonjwa ili amng'oe jino, hivyo akawa anajaribu kumpa stori za hapa na pale kama kumtoa wasiwasi.
Daktari: unajua jinsi “gloves” zinavyotengenezwa?
Mgonjwa:Hapana...
BIBI HATARI WA KUPINGA
Bibi alienda benk, akataka aonane na meneja.
MENEJA:unashida gani bibi?
BIBI:nataka kufungua akaunti niweke milioni 30
zangu ss hivi.
MENEJA:mh! Pesa zote umezipata...
Upo njiani unapita huna hili wala lile, unakuja kujistukia kuna kakupiga bonge la kofi la usoni, ile unakaa sawa hili ukimbie, anakupiga bonge la mtama kimo cha mbuzi, baadae yule yule jamaa...
Wana JF, ninaamini leo,wengi wetu tumefanya shopping na kugawa kadi kwa marafiki kwa ajili ya Pasaka. Ninapenda kuwaalika Jf members wote kujumuika na familia yangu,tusherehekee pamoja kupitia uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.