Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.
Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.
Nyie viumbe huwa...
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]
*Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,*
*Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta*...
Andika jina lako kwa lugha ya Kijapani,
Tafadhali Usiubadiri mchezo huu!!!
Lets laugh a bit by writing your name in
JAPANESE ALPHABET:
A= ka,
B= tu,
C= mi,
D= te,
E= ku,
F= lu,
G= ji, H= ri...
"LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011"
.
Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu tena...
Nimefanya uchunguzi sana tu kwa
dada zangu kupitia picha zanu za #fb na #insta, nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na
nguo za ndani basi,
yaan wote mnavaa za italy, canada...
Mimi haya majukwaa huwa nasoma tu kwa nje nikijua hayanihusu hata kidogo na sina mvuto nayo
The Lounge
Urembo, Mitindo na Utanashati
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
JF Chef...
1.- if u didn’t kill earthworm with salt.
2.- if u didn’t play rubber band.
3.- if u neva bath in the d rain.
4.- if nobody told u about Tanzania vs uganda
5.- if u did not sleep on the couch...
kama kichwa cha habari kinavyojielezea kwa ndugu zangu watumiaji wa mitandao ya kimahaba kama vile hitwe, Badoo, tizag,Instagram,whatsup etc hebu tupeane NONDO za maneno na kupeana ujuzi...
THE BAR NOTICE OF 2012!!! Spotted at
KARUMAINDO BAR in Othaya.
1. Ukifanya order, unaturia,usishide umekubusha waiter, yeye ni mutu mzima anakubuka.
2. Ukirewa urewe peke yako, usianze kuiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.