JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jaman dua zenu waungwana nkipona hapa ntaacha kila dhambii nesi ananiangalia kwa huruma yan cjui anamaanisha nn cjui nkimbieeee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
KUANZIA LEO NATANGANZA KUACHA BANGI.. SI KWA ILIVYONIFANYA JANA... [emoji117]NIMEKESHA USIKU MZIMA NACHEZA MZIKI KUMBE NI SAUTI YA JENERETA.. [emoji23][emoji23] [emoji117]ii bangi [emoji377]
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi? Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka. Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SURA YA KWANZA Na. M. M. Mwanakijiji Siku ya mkosi haiji na mmoja. Siku yangu ilianza kwa jina langu kuwa miongoni mwa majina yaliyotajwa kama waliotumbuliwa na Waziri mara baada ya serikali...
7 Reactions
19 Replies
7K Views
Hivi ni jambo gani moja tu likifanyika au likitokea asilimia kubwa sana ya watanzania tutafurahi na kushangilia? Taja jambo moja tu.
0 Reactions
9 Replies
897 Views
+++CHEKA UNENEPE++ "XTORY" Mtoto alimuuliza babaake: ''Eti baba, unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: ''Kwa nini umeniuliza hivyo? Mtoto akamwambia: ''Jana usiku, niliskia ukimnong'oneza...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend) 2. Ndoa zimeendelea kuimarika na upendo wa familia unarejea kwa kasi (wababa...
1 Reactions
2 Replies
622 Views
"Demu wa Kibongo ukimwambia Nakupenda muda huo huo anakua YATIMA,,,anataka umnunulie Simu, Nguo, Viatu nk."
3 Reactions
13 Replies
2K Views
BOY: hellow baby GIRL: Yes hubby BOY: Unaona hali ya hewa kimvua kinashawishi... GIRL: haswaaa tena kwa kilimo cha maharage.... [emoji1] [emoji2] [emoji3] *naomba unisaidie ku-like*
16 Reactions
17 Replies
2K Views
Nothing makes a guy happier than when a chick says, "go and lock the door first" [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2] *You jump like Conte! In celebration*
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuelekea sikukuu ya pasaka watu wamekuja na msuko mpya kazi kwenu
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hhaa haha haa haaaa !!!
2 Reactions
57 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia Leo kwenye media kuwa ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna faru ndungai. Nimebaki najiuliza: >Kwa nini wamuite faru ndungai? >Je, huyu faru ndungai ni jike au dume? > Au huyo faru naye...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wadau, Hebu tutafakari hivi hali itakuwaje ghafla tukipewa uwezo wa kuwafanyia wapenzi factory reset / system restore ya akili na hisia zao ili ziwe kama pale yalipoanza mapenzi. Je, wewe...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mimi naishi uswazi, nimepanga geto yenye chumba kimoja tu sasa kuna binti niliwahi kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu. So tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
2 Reactions
7 Replies
5K Views
*Utaskia mtu akiniuliza kwa nn napenda kuchat na my ex?? Kwan wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision....?* *Msinichoshe*
3 Reactions
4 Replies
898 Views
Back
Top Bottom