JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Za juma pili!!! Huku kwetu wazee tuna vijana wengi tu wenye hayo majina tena mfano huyu dogo kikwete kazaliwa mwaka mmoja baada ya mzee kikwete kuingia madarakani Basi utasikia wazazi wao...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Utotoni Mchezo wa mieleka unapendwa sana, tupia kumbukumbu yako ya styles mbalimbali ulizozipenda kutoka kwa wanamieleka mbalimbali, Mimi naanza na; 1. Tombstone Piledriver - The Under Taker...
2 Reactions
178 Replies
12K Views
Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi Babu: Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa. Wajukuu: Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani? Babu: Nani...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana...
6 Reactions
4 Replies
914 Views
*AHSANTE MWEZI APRIL* Huu mwezi mpaka unaisha kila wiki ina sikukuu. Kwa msingi huo siku za kazi kwa wiki zote nne ni nne tu kwa kila wiki. 1. Wiki ya Kwanza - Siku ya Ijumaa Tarehe 7 ni Karume...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni baati ya juu kabisa maana mimi nina kapicha kamoja tu tena ka black and white ila nyie mna Video Picha Wazazi wenu tumewaweka hadi facebook Hadi mikanda ya harusi zetu tumewawekea ...
2 Reactions
1 Replies
693 Views
Kati ya vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema "kafunge kwanza mlango vizuri" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
1 Reactions
2 Replies
663 Views
PLAY BOY - 01 "Nimesema ctaki ctaki na kama hela yako sihitaji..." "..aah Jacky kwani mi napenda hivyo..." "mwanaume gani huna hata huruma enh..? Nimekupa bado hutosheki tu..." Mimi ndiye Play Boy...
6 Reactions
176 Replies
15K Views
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo. Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF. Sikuwahi mfumania mtu...
20 Reactions
145 Replies
9K Views
Kati ya Vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema " Kafunge kwanza mlango vizuri " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
1 Reactions
1 Replies
955 Views
Huwa nikikaa natafakari tulipotoka nacheka sana. Shule ya msingi wadada walikuwa wababe, darasa la kwanza la Pili la tatu hivi. Niliwahi kula makofi toka kwa monitor wa kike darasa la kwanza...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
KIFO NI NINI...? KIFO NI PALE DEMU WAKO ANAPOFANYA FUJO CLUB HUKU AKIWATUKANA MABAUNSA.. KWA KUSEMA "BEBI WANGU HATA HAWAOGOPI" [emoji3][emoji3][emoji3]
3 Reactions
0 Replies
974 Views
I'm sure if babies had to know how many adult mouths have sucked the same breast before them they'd prefer to take porridge....[emoji1] [emoji1]
3 Reactions
14 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Siku si nyingi nitasherekea siku yangu ya kuzaliwa na kuaga ujana kwa amani Namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa huruma na Rehema kwa wema na baraka zake nyingi saana katika maisha yangu. Siku...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Natafuta galfrend wakuu... mwenye vigezo karibu nyumban kwetu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ni muda sasa unapita, Wasanii kama vile makamua, Farida, Joslin, QJ, dudubaya n. K hawaonekani wala kusikika tatizo nn? #FreeMusicians wakalikwanza
1 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau.. nakumbuka miaka ya 90 hizi story zilikuwa nyingi sana mitaani.. na wajanja wakapiga sana hela kujifanya waganga... naona teknolojia imewaumbua... waganga wa kienyeji mjiandae...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Faru Fausta aliyepo hifadhi ya Ngorongoroba bajeti yake ya chakula ni zaidi ya million 60 kwa mwezi. Ni sawa na kwamba Faru Fausta kila siku anatumia million 2 Kwa jinsi maisha yalivyo...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Back
Top Bottom