JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani msihangaike kutafuta funguo tumewaachia mlango wenu wazi maana chumba hakina chochote cha kupotea, ijapokuwa tunawashukuru mlitufaa kidogo na mvua hizi za vuli. Wasalam Arsenal the...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
naomba kujua namba za kutumia kuweza ingia TTCL UNIVERSITY OFFER
0 Reactions
1 Replies
513 Views
habari wanaJF ahsante Mh Magu sasa naona tumenyooka, zamani tukikutana vijiweni utasikia yaani yule manzi kesho nampeleka beach halafu tukitoka huko nampeleka kwenye Ma cassino , yaani ni full...
1 Reactions
1 Replies
594 Views
NAOMBA NISEME TU KITU KIMOJA LEO. MNIVUMILIE LAKINI NAWASAIDIA. MAANA MMEZIDI. Kuna hii tabia Jamaa mpenzi anakuambia mamii twende out for dinner. Sasa Dqda yangu sijui unakuwa na shida gani...
8 Reactions
111 Replies
10K Views
Nilikuwa nafuatilia maisha ya mrembo huyu,tangu2006,nikiwa form one,lakini hadi Leo hazeeki,naomba sasa nipenyeze hapa kuitangazia jamii f,na mumfikishie ujumbe.....Nampenda sana si kwa kutafuta...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi >MZUNGU akija afrika = mtafiti >KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi >KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada >KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mambo vip?Wadau katika maisha tunapitia mambo mengi hivyo wakati fulani tunatakiwa kushare uzoefu ili tuweze kupata elimu kidogo.Karibuni tushare stori ambayo huwezi kusahau hapa chini:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi inatokeaje mtu na demu wake unaogelea beach upo kwny nguo za ndani huo si ushamba kabisaa wakuu...au inaonekanaje?!
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Habari wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, inapendeza/ inafaa kwa shemeji alooa Dada mtu kumlisha?, kutokana na yeye masuala ya kipato chake cha kibarua kumuendea kombo , kwahiyo...
1 Reactions
6 Replies
771 Views
Hawa watu wapo?? 1. Attention seekers.- ile watu mmetuliaa sehemu mfano kanisani mko bize na uwepo wa mungu wao wanakuja late ili muwaangalie wao wapo?? , mtu uko bize na mambo yako...
1 Reactions
6 Replies
797 Views
mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango Mazungumzo Huwa hivi... Wewe[emoji19]: EEEEEH Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Reporter:Eti mh usingizi na elimu kipi bora??! Mheshimiwa:usingizi!! Report er:kwa nin??! Mheshimiwa:Dr Isaac Mar alisema usipolala siku11 unakufa Ila mi sijasoma na bado ninaishi tena masaki sio...
1 Reactions
0 Replies
963 Views
Mwalimu wa secondary au chuo anapewa laptop. bundle atanunua mwenyewe,:D;) ili wakae up to date na masomo wanayofundisha, sio kufundisha kwa syllabus ya mwaka 47, walimu wakiwa na...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu! Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake! Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa...
19 Reactions
78 Replies
7K Views
Ni ukweli usiofichika kuwa asilimia kubwa ya wanaume huvutika na wanawake wenye makalio makubwaNa kweli wapo wanawake waliojaaliwa neema ya kutosha kiasi cha kumvutia mwanaume yeyote rijaliHali...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Mara nyingi katika maisha mambo huenda mawili mawili ingawa sio lazima ila tujikite kwenye mambo mawili..... Iwe ni maamuzi tunayofanya yanayotegemea pande mbili au vitu vinavyotekea viwili...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Hapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Jaman hivi huyu mtoto wa mwanza shigongo aliwapikuje hawa watoto wa mujin clauds had akawazidi pesa na akawa juu zaidi yao na kuanza kushusha maghorofa makubwa mujin mwanza na dar Alifanikiwa vp...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Wakuu salama kuna hawa jamaa wanajulikana Kama be like bro kwa kweli ni kili niwapo na mawazo basi husogea kutazama post zao na huwa zinafurahisha ntajitahdi kuweka picha ili tuburudike wote wana...
14 Reactions
179 Replies
59K Views
Nasaha za JF Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners: JF is never boring - The Boss Ukikutana na Simba au Chui Porini Bong'oa tu wote mbio kk...
16 Reactions
82 Replies
6K Views
Back
Top Bottom