Habari
Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu...
Mwalimu: Leo kila mmoja wenu ataniambia kile ye hufanya akienda nyumbani
Mwanafunzi 1: Huenda kununua bangi kwa Yakobo
Mwanafunzi 2: Mi huendaga kununua sigara kwa Yakobo
Mwanafunzi 3...
If you suspect your wife or girlfriend of stealing money from your wallet, just put a used condom in your wallet, then you will catch the thief......free advice, you are welcome my brothers
[emoji23]
Salaam zenu waungwana mko salama? Well, tukazane kuchakarika hasa sisi wa jinsia me maana hizi standards siku hizi sio mchezo
Kuna maswali ambayo vijana yamekua ni kitendawili kwetu hasa kwa wale...
Juz nilipost kutafta mwenza wangu, Namshkuru Mungu nimepata na mambo yanaenda vizur sana..
Thanks kwa wote waliotoa ushirikiano...
Nakupenda "F" na karibu kwenye maisha yangu..
*Sh.1,000/=* na Sh. *10,000/=* walikuwa *marafiki.* Siku moja walipata ajali na wote wakafa. Walipofika kwenye lango la *paradiso*,Mungu akamruhusu sh. *1,000/=* aingie. Sh. *10,000/=*...
je wewe unakumbuka hadithi gani ya zamani nzuri na ya kuvutia uliyokuwa unaipeanda sana kipindi upo shule ya msingi miaka ileeee ya zamani
tukianza Mimi nilikuwa nazipenda hadithi mbili moja...
Katika mazungumzo yao, waziri mkuu wa Ethiopia ameomba msaada wa wakuu was mikoa walau wawili ili wakamaidie kuboresha hali ya maisha kama walivyo Fanya hapa Tanzania. Waziri Huyo ameridhishwa...
Habarini Bandugu bapendwa katika bwana.
Nashika kalamu na karatasi kuandika waraka huu huku mwanga wa kibatari changu ukinimulikia.
Sio siri nampenda sana huyu member anayefahamika kama rubii...
Habari wakuu !!
Kuna movie moja nimewahi kuiona kwenye banda la video nikiwa mdogo natamani kama ningeiona tena.
Movie yenyewe ni ya kizungu jamaa anatakiwa arudishe kitabu sehemu anapita kwenye...
How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients
If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients which are very often available in grocery stores. These...
Watz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]...
Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa...
*Dr. Mwakyusa:* Dada niwekee petrol full tank tafadhali
*Fuel attendant:* Sir, I don't speak swahiri, I only speak English
*Dr. Mwakyusa:* Ok! good morning my dear, I currently feel a profound...
*Nimepitia njia ya police station,,
nikaona gari yao imeandikwa
4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D² ,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.