DOKTA yupo na WALEVI anawapa
ushauri wa bure kabisa Kuhusu afya
zao...!
DOKTA :- Jamani hamjui kwamba
Pombe inaua polepole?
MLEVI mmoja Akajibu :- Kwani nani kakuambia SISI tunaharaka..?
Dem: My huby...
Mimi : Yes my love...
Dem: Nakupenda... Mimi: Hata mimi najua... Dem: Baby hauna nguo za kufua?
Mimi: Ninazo mpenzi...
Dem: Nakuja hubby ila naomba
uniandalie na hela ya shopping...
Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa.
Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza...
Hebu zisome hapa Tabia za Mwanaume
BAHILI na Mwenye Roho ya kimasikini.
1. Anapenda sana kuweka Coin kwenye
wallet yake, ukiiona suruali yake unajua
kajaa noti kumbe vyuma, wallet ina nusu
kilo za...
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu...
ENZI IZO NASOMA SEKONDARI
Mwalimu alikua anapenda leta hesabu za familia unakuta hesabu inasema.
John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri...
Sister: Mambo vipi bby
Brother: Poa mrembo hujambo?
Sister: Sijambo bby.
Sister: Bby mara hii nataka pale hostel niwafunike wote.
Brother: Hamna shida bby Mara hii ntakununulia turubai kubwa sana...
MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI.
SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA.
UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima..
Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye...
Kwa muda mrefu sana nina tatizo la kuwahi kuamka asubuhi, Kwa kawaida hua naamka saa nne na nikiwahi basi ni saa mbili, Nawekaga alarm saa 11 asubuhi lakini hua naishia kuipuuza, sina mwajiri wa...
[emoji121]
Wakuu,
Kama kawaida yangu ya kuamka asubuhi mapema na kuanza kuzungusha mkokoteni wangu wa madumu ya maji nyumba hadi nyumba kitaa cha #madale_mivumoni-
Sasa nyumba ya nne kutoka...
salute!.
Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu...
Asilimia 88 ya Wanawake wanawachukia marafiki za wanaume zao
Asilimia 90 ya wanaume wanapenda wanawake za marafiki zao
WANAUME NI WATU WAZURI SANA DUNIANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.