"Mgonjwa kapimwa kwa X-ray ikaonekana ana mende kifuani.Mchango ukapitishwa kauza mali zake zote kaenda india kufika kule X-ray za india zikaonesha hakuna mende kifuani.
KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI...
Kama kichwa kisemavyo nina maombi kwa atakayetaka utani na mimi
1.naruhusu utani wa kila aina
2.hata kutukanwa poa tu
3.ila yoyote atae niita b.a.s.h.i.t.e huyo ntakufa nae
[emoji1] [emoji1]...
*mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango*
Mazungumzo Huwa hivi...
Wewe[emoji19]: EEEEEH
Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH...
NAWAKUMBUSHA TU
Yeyote anaetaka kupata mtoto 2017, Hii ndo wiki ya mwisho. Vinginevyo mtoto wako atazaliwa 2018. So ebu kuweni bize kdg[emoji12][emoji12]
Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Je Wajua mazungumo MAFUPI Kuliko Yote Dunian ni pale unapokua CHOONI alaf ghafla mtu anakuja na kufungua #mlango.... Mazungumzo huwa ivi:
Aliye chooni: WEWE -EEH
Aliefungua mlango- AAAH
au...
Nakumbusha pia kuwa masela wanaweza kukuchangia pesa na vitu vingine ukihitaji lakini hakuna wa kukuchangia *NGUVU ZA KIUME* maana kila mtu ana kazi nazo na wengine wanaona hazitoshi, sasa hizo za...
mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango
Mazungumzo Huwa hivi...
Wewe: EEEEEH [emoji15] [emoji15]
Aliefungua mlango: AAAAAH...
Kuna taarifa nimezipata hivi punde kuhusu mwenzetu kipenzi PakaJimmy. Kwa mujibu wa rafiki yake wa karibu afahamikae kama Sofapaka ndie alienipa taarifa hizi,nadhani by then kabla hawajahama...
Dear members.
Muslims and Christians
It's Easter season dears!
Let's put aside if not forget at all our religious differences
Sote ni wamoja tunamwomba Mungu mmoja na ndiomana ikiwa sikukuu za...
Huu mwezi mpaka unaisha kila wiki ina sikukuu
...so in april siku za class ni nne tuh kila wiki mwezi mzima
wiki hii....ijumaa.7 karume day
Next wiki...ijumaa 14 Good friday
Next of next...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.