JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani si mzaha, mimi hadi umri huu nilikuwa sijawahi kusikia mwanamke akiachia ushuzi wa sauti (kujamba?:), sana sana ni hali ya hewa tu kuhisi imebadilika hasa nilipokuwa na mwanamke kwa muda...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kama umevutiwa na mtu au kitu anza wewe kumwendea PM, sio from no where una comment Njoo PM!!
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Kiboko wa mabishoo wote mjini amedai yuko kwenye hatua za mwisho kuzindua website yake ambayo itakuwa inauza kazi zake za sanaa, hayo yote amesema jana alipokuwa akifanya mazungumzo na DSM online...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Maana dah sio kwa vitu wanavyo tuletea hawa jamaa... Jana liquid tulikoma.. Kama tuna hudumiwa na air hostess kumbe vijana wa..... Hatarii Ila haina hang over wala harufu na unalewa safi tuu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Serikali ijitokeze na kusema kama wanaomshikilia Roma ni majambazi au vyombo vya serikali. Wasanii mnapaswa kuwa mbele katika hili. Ikifika kesho hatujui alipo Roma ni marufuku radio au Tv...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Kitambi kimeokotwa aliyekipoteza aje central hatupendi kupeana shida COZ SOTE tunaisoma namba.SASA SIO kubebeshana majukumu yasiyo YA lazima. Uliyekidondosha Ajisalimishe haraka.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni miezi kadhaa tunachangia uwepo wa jukwaa hili kwa post na michango mbalimbali. ..umefika muda Mtulipe mshahara [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hasa makapuku...
5 Reactions
0 Replies
551 Views
Tuje kwa wingi kuelekea zanziber kuokoa
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huko kwenu Wapo!!!???? Njoo tuimbe pamoja... Wapooo / hawapooooo!! 1. Attention seekers.- ile watu mmetuliaa sehemu mfano kanisani mko bize na uwepo wa mungu wao wanakuja late ili muwaangalie...
9 Reactions
454 Replies
17K Views
Juzi jumatatu nilisafiri kutoka dar kuja mwanza na niliweka bandiko kuwataka wadada Wa Mwanza wajitokeze hii nifursa adhimu ili tule bata nawakaribisha tena enyi ndugu Wa bashite njooni sasa nipo...
0 Reactions
6 Replies
810 Views
Habari wanajamvi, Kwakweli maisha ni kupanda na kushuka, usishangane tajiri aliyeko jirani mwako kaporomoka kiuchumi, hali ya unga wa sembe nchini imepanda ghafla kwa takribani siku 3 tu , kutoka...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Mgonjwa kapimwa kwa X-ray ikaonekana ana mende kifuani.Mchango ukapitishwa kauza mali zake zote kaenda india kufika kule X-ray za india zikaonesha hakuna mende kifuani. KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Pale ulipotarajia kitu halafu ukakutana na kitu OPPOSITE, Lazima Jicho likutoke tu. Mmekaa kwenye Umbea Corner mkadanganyana "Oh wanaume wembamba hawana kitu kabisa shosti tafuta mnene mnene...
11 Reactions
85 Replies
4K Views
[emoji121] Wakuu, Leo nimeamka zangu mishale ya saa kumi na mbili asubuhi nikapanda bodaboda kutoka bunju_b hadi mwenge kwa bro. Kisha nikamwambia yule bodaboda tuelekee ubungo_msewe kwa dada...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ebhanah hii ni hatari,leo nkasema nisogee mkoa kidogo nikawacheki ndugu,jamaa na marafiki,ila kufika ubungo yani hawa wapiga debe ni kero unagombaniwa kama mpira wa kona Dah yani kero kinoma!!!!
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Kwamfano unadem ambaye unamkubali saaaana na umeisha jidhatiti kuwa ndo mwanamke ambaye utaishi nae, love ipo public kila mmoja anaelewa uhusiano wenu hadi imefikia hatua kutupia picha zake...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe! JAMAA: VP tena darling kulikon? MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas...
6 Reactions
2 Replies
1K Views
Goodmorning ladies and gentlemen Wakuu mwenzenu huwa na katabia kuwa ikitokea serikali ikafanya kitu kikaniudhi huwa najikumbusha makosa niliyofanya 2015 kwa namna flani. Sasa mida hii nipo kwenye...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Back
Top Bottom