Nyie [emoji4]
Nahitaji kuwajua wasichana wote mlokuwa "single" humu Jf
Kama upo single, comment kwenye huu uzi.
Kuna Project kubwa inakuja humu. Sawa???..
Sasa wew ole wako uwe single alaf...
WATANZANIA
Kuna mambo muhimu matatu hatuyajui ndomaana hatuendelei kama wenzetu ulaya,,, tumekuwa tukiyafanya mambo haya kwa mazoea,
MAMBO yenyewe hata mimi siyajui kwa sababu na mimi ni...
Mwanaume ni nani??
Mwanaume ni yule ambaye anatangulia hotelini na kumwambia muhudumu, nikija na demu wangu sema imebaki chai na maandazi tu :rolleyes:
Mwanaume wa kweli ni yule ambaye yupo na mpenzi wake zaidi ya miezi 3 bila ya kumuuliza au kumshawishi kufanya mapenzi, huyo ndio mwanaume wa kweli, ambaye ni mimi tu nimebaki peke yangu duniani...
Huyu dada yangu naye anaweza kuwa topic,
Mara zote bosslady huyu amelalamika kuwa anahitaji kugegedwa...!
mara kadhaa amekuja na hoja ya kutamani muhogo, ingawa nahisi hajawahi kuwinda mtu live...
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu...
*Matokeo kidato cha nne,*
div 1=1
div 2 =1
div 3 &4 =0
div zero = 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya
Akili...
za asubuhi wapendwa !
nimewaza kwa sauti tu. hivi ikatokea maajabu ya dunia siku members wanaingia jf, wanakuta kwenye ID zao mbele kuna jina kamili, lile lile mtu analotumia kama official name...
Habari yenu wakuu
Nani yupo nyama choma hapa Leaders club? Njooni tuyajenge. Kwa wale wanaotaka kukutana na mtu mzima mimi huu ndo wakati. Hina haja ya kuja PM. Just nielekeze umekaa wapi nije...
Nimekaa hapa natafakari sehemu na viungo vya binadamu vinavoishia na herufi 'O' katika lugha adhimu ya kiswahili;
Mkono
Mdomo
Sikio
Kalio,
Kojoleo,
Jicho,
Kiwiko,
Ugoko,
Unyayo,
Kisigino...
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?
2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife...
eti mtu anakuuliza unaweza kuchoma cheti chako cha form six kwa sababu ya bilioni 2, nini cheti mimi nitachoma shule kabisa, tena nitamnyofoa mguu mwalimu kabisa
#WapostPumba
tuanze na ki definition hiki cha form two.... misimu ni aina ya maneno yanayo ibuka au kuzuka na kutoweka kwa kipindi fulani, kibongo bongo tuna mineno mingi sana amabayo ina zukaa na kupotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.