JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000. Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa hizi kauli zote ziletwe humu mana kule majukwaa tunapopeleka wamesema hawapendi ujinga kabisa.
4 Reactions
63 Replies
15K Views
Mahindi gharama.....sukari gharama..... Condom bure..... hivi serikali inafikiri sisi nguvu tunazitoa wap sasa Kwa mfano?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
7 Reactions
1 Replies
999 Views
*BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.*
3 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna demu juzi nimemuomba namba zake, akanambia nipe zako bila hiyana kidume nikatoa namba zangu, alisema akifika nyumbani kwao atanipigia, sasa nahisi kapotea kwa sababu hajanipigia mpaka leo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
perfect_rahym_TZA Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 10 huwezi kukiita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI Bali ni mali ya UMMA chini ya wizara ya utalii na burudani Kama ni zaidi ya watu 25...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu yangu Mkiristo na Muislam chukua tahadhari mapema sana, usije ukaenda KFC au cafe yoyote ukala vyakula kama pizza , chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani, beef...
4 Reactions
8 Replies
889 Views
Hii ni simple test ya mwanaume mwenye jogoo ambaye bado anawika. Ukitaka kujua kama jogoo wako hana kasoro, soma maneno yafuatayo hapa chini na assume umetumiwa text kama iyo na Mkeo au Girl...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Nimehangaika wiki nzima sina hela ya sabuni sasa nimesikia huku JF kuna mapovu ya kutosha hasa kwenye lile jukwaa la siasa.Naombeni japo beseni mbili za povu mwenzenu nifue nguo zangu naaibika mimi.
5 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wapendwa. Nimekuwa nikiota hizi ndoto za nyoka mfululizo nashindwa kuelewa kwanini. Juzi niliota niko kwenye nyumba imezingirwa na nyoka wa aina tofauti wengine hata sijawahi kuwaona wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
*Wife*= Honey can u please help me cleaning de garden? *Husband*=Do i look like a gardener? *Wife*=Sorry Honey, OK then fix de bathroom door. *Husband*=Do i look like a carpenter?... then de...
11 Reactions
6 Replies
2K Views
```Maisha Yanabana Kiasi Mtu Anaulizia Kama LUKU Ina Bandle Ya Chuo [emoji13][emoji13][emoji13]```
2 Reactions
3 Replies
1K Views
6 Reactions
43 Replies
4K Views
badilisha hii sentensi kwa kingereza "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi" ngoja nipitie pop corn hapo kati..!! #WapostPumba
0 Reactions
25 Replies
3K Views
salaam wana jf ndugu zangu jana nimetoka mahakamani na natakiwa kurudi siku ya jumanne kila nionavyo nina dalili ya kuingia gerezani Kisa nilimpiga muuza samaki, nilikuwa nipo ndani nikasikia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani! Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kitu ambacho Tz tuko mbele zaidi ya USA ni Muda tu hakuna kingine.. Tuko mbele masaa zaidi ya 8 kutegemea na mji gani wa huko USA lakin vingine wametuzidi..
6 Reactions
8 Replies
2K Views
2 Reactions
1 Replies
812 Views
Habari wana chit chat Katika wakati huu wa mvua nimejikuta nakumbuka nilichofanyiwa 2006 nilipokuwa form 3. Mwaka huo kule Kibosho kulikuwa na mvua mfululizo hatari alafu baridi na ukungu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom