JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtu kuambiwa kuwa kuna harufu mbaya(either ya mavi au ushuzi) kisha anaanza kutembeza pua ili aisikie na kupata uhakika.Huo ni ujinga sawa na kuonja sumu ili uone inavyofanya kazi.Mtu kukomaa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua? DADA: ndio nimepanga kabatini. Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Happy birthday to me
0 Reactions
5 Replies
630 Views
Hii nmeifanyia utafiti mm mwenyew,miongoni mwa dawa zinazotumika kusukutua mdomo baada ya kupiga mswaki ikiwemo listerine,oral b na zinginezo,inajulikana kua faida yake ni kulinda fizi na kua...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
mume: mbona unapaka makeup asubuhi yote hii hata hujaoga, unaenda wapi?? mke: siendi popote nataka ni-unlock simu yangu, bila makeup haitafunguka #WapostPumba
0 Reactions
5 Replies
904 Views
Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni...
11 Reactions
53 Replies
5K Views
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!! Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja...
21 Reactions
48 Replies
6K Views
makampuni yaliyopunguza wafanyakazi wake kwa sababu mbalimbali Voda wanapunguza wafanyakazi awamu ya kwanza Tigo washapunguza awamu ya kwanza bado awamu ya pili Coca cola wanapunguza awamu ya...
1 Reactions
2 Replies
913 Views
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Upo ugenini halafu unaskia maneno ya wenyeji wako wakisema huku ndani hatujawahi kupotelewa na kitu, nani kaiba simu?
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mfano ukapelekwa juu ghorofani ukapandishwa hadi kule juu rotion ya 15 chini ukawekewa godoro la upana wa miter 50×50 na unene wa miter 20 na ukaambiwa urukie hilo godoro upewe milioni 5...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kwanini hili shirika la ndege la Ethiopia wakiweka matangazo yao ya ndege kwenye mitandao ya kijamii hawaweki zile ndege wanaweka picha za wahudumu wao wa kike tu?? #WapostPumba
0 Reactions
5 Replies
862 Views
Yaani nitaonyesha sehemu ninayoenda kuvutia bangi na kunywa viroba na kukabia, Nyie endeleeni tuu kuwaza ujinga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
8 Reactions
337 Replies
18K Views
*Nimeangalia tamthilia ya Kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Leo ni siku ya Maalum kabisa kwa watu muhimu sana katika nyanja ya afya duniani. Siku ya WAKUNGA. Kila mmoja wetu hapa huenda Wakunga wamechangia kwa kiasi kikubwa ili kufikia...
2 Reactions
0 Replies
969 Views
*Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje ww akarudia tena KISIMI anko. Aisee nkashika...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Member wa jukwaa kwema! Kuna vitu au mambo fulani hutendeka/hutendwa na tunayachukulia kawaida tuuu. Ila hivi ulishajiuliza hayo hayo mambo tunayoyachukulia kawaida yangetendeka au kutendwa...
16 Reactions
322 Replies
12K Views
jana Ronaldo kapiga goli 3 ktk uefa hajavua shati ila angekuwa yule mbilikimo angevua mpaka chupi #WapostPumba
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom