JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamani mficha maradhi kifo humuumbua kwa heshima na taadhima naomba tuwataje ndugu zetu wenye vyeti feki na wametumbuliwa hivyo hawana kazi za kufanya zaidi ya kushinda wakirukaruka humu ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
519 Views
Kitendo cha hawa wanawake Wenye chura kuendelea kuzagaa hasa katika kipindi hiki ,tunachoelekea kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani,wallah umekuwa ukituondolea utulivu,na Umakini hasa katika...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Hizi ni pafyumu zenye sumu, Ambazo inasemekana kwamba Utakuwa na siku tatu tu za kuishi endapo utajipulizia Sasa Ukiambiwa umchague mmoja wa kumpulizia, Utamchagua nani?
0 Reactions
105 Replies
5K Views
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa...
15 Reactions
14 Replies
2K Views
"vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika either ushuani na mie
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NATAFUTA MSICHANA ANAYE ANAYEJUA KUCHUNA VIZURI MAANA NATAKA KUFUNGUA BUTCHER. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama yupo aje inbox[emoji403]
2 Reactions
9 Replies
1K Views
umekua kiongozi mzuri kwa makosa yalio pita. Sababu unajua? Watu wengi hawajui kukosea ninjia ya kuwa mwalimu wa maisha na changa moto ulizopitia.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mdau kanambia kua "kitunguu ndio tunda pekee linalo mliza binadamu" nimemtupia boga la uso saizi analia.. Au boga siyo Tunda jamani?
1 Reactions
5 Replies
885 Views
BOY: mambo baby GIRL: kimyaaa BOY: nakusalimia mbona hunijibu baby GIRL: kimyaaa BOY: 576458588545852 baby vocha hiyo ingiza GIRL: baby mbona haiingii BOY: kama haiingii gongea na nyundo #WapostPumba
1 Reactions
3 Replies
1K Views
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti #WapostPumba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kizazi cha mwaka 1990 kushuka chini kilipenda kueka #Vitanda karibu na madirisha ili waweze kuona mwezi na nyota wakati wa usiku...;) Kizazi cha mwaka 1991 mpk sasa 2017 utasikia kina mwambia...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Salaam nyingi sana wanaJF. Neno 'kismati' limekuwa likitumika kuashia mtu kuwa na bahati nzuri au zali kwa wenzetu vijana huku mtaani. Wanawake wenye ndevu ni kama wana kismati.Mwanaume...
0 Reactions
44 Replies
17K Views
No church is perfect, Just like any marriage relationship. Usiniulize kwanini..
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika maisha kila mtu ana maono yake, na sote tuna matamanio yetu ambayo tungependa kuyafikia hata kama hatuna uwezo huo!! Mfano kwa wapenzi wa mpira ukiwauliza ungependa uwe kama nan kama...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
Kuna Members wawili ' maarufu ' sana humu JF na ambao pia wameshaanzisha ushirikiano wao wa kutukuka wa Kibaiolojia / Mapenzi ila tokea watutangazie huo umoja wao wa Kibaiolojia ' uchangamfu ' wao...
9 Reactions
163 Replies
10K Views
Je, limbwata tuweke ktk kundi lipi?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Visa vya sekondari ni moja kati ya kumbu kumbu zangu ambazo siwezi kuzisahau kirahisi japo nmeshahitimu chuo. Kuna kipindi nakumbuka shuleni sekondari ukiwa mtukukutu wanampigia simu mzazi...
2 Reactions
6 Replies
819 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…