JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuowa mwanamke asiyekwenda shule raha sana ukitaka kwenda kwa mchepuko wako maongezi yanakuwa hivi mke- safari ya wapi mume wamgu mume- naenda mwanza kubadilisha profile picture mke wangu mke-...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
*Hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako kwenda kufata umbea darasa jingine alafu unaskia kauli hii* *""haya wote laleni chini""*
3 Reactions
3 Replies
1K Views
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI:: Mwanaume: sister mambo Sister: mambo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
*Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makinikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
*Kuna Mkaka anazunguka Mtaani anatafuta watu 17 wa kuangalia nae movie... Sababu iyo movie imeandikwa 18 and above...*...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa Karibuni pilau ya Idd Kwamtogole kuanzia saa a saba mchana.
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Kifo ni pale unapopangiwa ukawe kiongozi KIBITI [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko ya kazi wana JF, Bila kupoteza muda ngoja niende direct kwenye mada iliyonileta humu. Nina miezi michache sasa nipo nchini Uganda kikazi, lakini imekuwa vigumu sana kukutana...
0 Reactions
10 Replies
993 Views
…
1 Reactions
5 Replies
674 Views
Wakati Wa mziki unatafuta Wa kucheza nae ukamatie kiuno.unampata Mara unaskia dj anasema "bado moja ya mwisho"apo ndo utatamani muda urudi nyuma au unatamani umrukie dj umchape vibao. Duh unakuta...
0 Reactions
11 Replies
802 Views
Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu #WapostPumba
0 Reactions
4 Replies
5K Views
E WAJUA * *Kumdanganya demu kazi rahisi sana.?* *Dem: Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.* *Jamaa: Ee sana tu naweza ndio..* *Dem: Eb ongea...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama ufutio. 3. Kama ulikanyagia kisigino...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mungu ashukuriwe tumemaliza mfungo salama salimini.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
[1] Regular naps prevent old age, especially if you take them while driving. [2] Having one child makes you a parent; having two you are a referee. [3] Marriage is a relationship in which one...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwalimu wa kawatoa nje wanafunzi wake. Mwal: jamani angalieni Juu Mnaona nini? Wanafnz: mawinguuuu.. Mwal: kingine..? Wanafnz: hakunaa Mwal: Mungu mnamuona? Wanfnz: hatumuoniiiii... Mwalm...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
*Nawakumbusha waislamu wote ambao hamjanialika kuwa bado miezi mi 5 christmass ifike,ni ilo tu kwa leo* Idd El Fitri
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom