JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefanikiwa Kukutana Na Mwana Jf Mmoja Wa Kiume Tumeongea Mengi Sana Kuhusu Changamoto Za Jf Na Mambo Kadhaa Ya Nchi It Was A Wonderful Day Nikamchokoza Kuhusu Id Yake Akacheka Sana Mpaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu X-paster kama bado upo nakuomba ujitokeze hapa ile 'ishu' tulijadili naona sasa ni muda muafaka wa kuifanyia kazi, ni muda mrefu sasa sijakuona kabisa hapa JF mpaka ninapatwa na wasiwasi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Jana Mchepuko wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna wakati Mtu unaweza kuchapia mbele ya kadamnasi mpaka ukajishtukia hasa ukizingatia watu wametega masikio wote wanakusikiliza wewe kisha likakutoka neno hata usijue kama limetoka mdomoni...
1 Reactions
7 Replies
935 Views
Yaani hiki kivuli cha jioni kina madharau sana yani nakatiwa sukuma wiki kwenye kibanda chenyewe kimesimama kwenye bucha..
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwalimu wa shule yetu huwa anapenda kutumia kiswaEnglish kwenye somo lake la geohraph..... Juzi kauliza swali???? Teacher: " nani anajua Dalili za kuanguka kwa CLOUDS " Tukanyoosha mikono wengi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unamchapa mtoto wako alafu una mbembeleza kwa biskuti unamuuliza nani amekuchapa..? Mtoto ana mpoint mtu mwingne hivo ndivo rushwa inaanza...tz
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo tarehe 28 Julai 2015 Bwana na Bibi Richard Mugizi wanapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wana MMU wote kujumuika nao kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa yao iliyojaa mapenzi na mahaba niue...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Karibuni jamani Eid ila nimejaribu kupita pita madukani nimegundua mchele ni ule ule wa Plastiki.Ila Kama upo tayari kutengeneza mabeseni chooni natoa mualiko kwa Kila mtu Wasalaam Eid...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Kabla ya yote aman iwe nanyi balikiwen sana katika bwana Andika neno litakalopunguza stres zako hapa alafu usiwe mchoyo wa like kwa mwenzio
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA* *MzeeKasema*
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya kumtandika fimbo chumbani akakimbia nje huku akichechemea Mara nikasikia mtu anabisha hodi nilipokwenda msikiliza namkuta mtu flani anachechemea huku akiniambia " uumeona ulivyoniumiza?"...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
kama unapata nafasi ya kuanza au kurudia upya maisha yako. ni kitu gani utakifanya tofauti na ulivyofanya sasa
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Huu uzi maalum kwa kupigana matani ..wanawake kwenda kwa wanaume na wanaume kwenda kwa wanawake 1.WANAWAKE NI WATU PEKEE WANAOVUA HADI NYWELE WAKIENDA KUOGA[emoji2] [emoji2] [emoji2] 2.WANAWAKE...
10 Reactions
65 Replies
8K Views
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO. 1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi. 2. Tembo ana uzito wa tani 7 3. Tembo jike hubeba mimba...
2 Reactions
6 Replies
976 Views
LEO SIKU YA AJABU SANAAAA. MPAKA WANAUME WANATAMANI KUUONA MWEZI[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…