JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kweli nyakati daima hazifanani, mpaka ninavyoandika hapa sijapokea mwaliko wowote wa Sikukuu toka kwa ndugu, jamaa na rafiki zangu! Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki? Come on!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Unaweza usielewe kwanini nauliza hivi au ukaponda tu kama ilivyo kawaida ya wengi lakini jibu lako ni la muhimu sana. Hivi kila mtu anahaki ya kupata anachokihitaji/kipenda?? Kama...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana JF Mkuu Joseverest hivi unatumia mbinu gani mpaka unapata mpaka 89% za wewe kuwa ni member wa kwanza ku comment asilimia hizo ya threads? Ni kweli kitanda, gari, nyumba na kazi yako...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika maisha yangu jambo ambalo sitalisahau milele ni siku nilipofanya mapenzi na binti wa ajabu kimaumbile! Jirani na kijijini kwetu nilipata binti alikuwa anaitwa Kamunde! Kwa kweli ilinichikua...
8 Reactions
106 Replies
25K Views
Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi.. Jumatatu apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu...
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Kwa wale watumishi wanaotumia Nmb Mgodi umetema kesho mapema kachukueni vyenu.Thanks
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
12 Reactions
214 Replies
16K Views
Wakuu habarini tena, Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa...
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Nasema angalia ya kwako tu ...Hawa ndiyo watanzania bhana [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] UKIWA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nadhani wote ni wazima wa afya, napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba leo ni kumbukumbu ya siku yetu ya kuzaliwa mimi pamoja na twin wangu charminglady . Kwa pamoja tuna mshukuru Mungu...
4 Reactions
32 Replies
11K Views
Kuna dem nimemtongoza miaka miwil na miez miwl sasa nilikutana nae mbeya, aliniambia akimaliza shule atanijibu haswa akiwauliza wazazi wake walioko pwani,... Juzi kanitext "mpenzi uwezi amin mama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Help me please
0 Reactions
14 Replies
8K Views
You CANNOT give a woman everything she needs. If God Himself gave them eyebrows, they shave and draw their own. God gave them nails, they cut it off and fixed their own, God gave them hair, they...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoa wa Pwani na muda mfupi baadaye, atazindua kiwanda cha matunda kwenye Kijiji cha Msoga, alikozaliwa rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete. Mkewe, Mama...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
*Hata uwe na bahati vipi huwezi okota nyumba* *Ni vile tu sipendagi kuulizwa na babamkwe/mamamkwe nafanya kazi gani wakati jobless so huwanga nawajibu "mjasiriamali"*
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuhoji, ni kwa nini hii mitandao ya simu wanatuwekea call back ringtone ambazo mwenye simu hata hana habari. Nyimbo zingine zinakera kweli unapompigia mtu harafu inaanza kuimba. Haki za...
1 Reactions
4 Replies
761 Views
Wanaitwa Ayara na Jayara Ratun wana umri wa miaka 41 wamezaliwa Barsirat,Bengala nchini India wana mume mmoja kwa muda wa miaka 22 sasa kwa kuwa wana UKE mmoja tu,miguu mitatu,mikono ndio...
1 Reactions
37 Replies
15K Views
Back
Top Bottom