JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapendwa, Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu...
35 Reactions
164 Replies
13K Views
majirani zetu wamejaribu kusubiri mema ya nchi wamejipanga kwa kununua passport. Wengine wamekwenda mbali zaidi mpaka kupata hati ya mahakama kutumia ubin wa Nyerere.
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Eti kamuomba "Magufuli mchanga wa makinikia akajengee Nyumba":D:D :oops::oops: Your like plz
2 Reactions
2 Replies
802 Views
Hali hii ilivyombaya......duuh yaani hadi panya wameamua kunikimbia...hapa nimebakiwa na shingtano ya mwinyi Nawaza sijui magufuli . aseme RUKSAaaaaa tuuuuu,
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Niko upset jaman!! Nipen ushaur wa buree nifanyaje...Najifeel bored na kila kitu!!.. Wanaoweza kunirudisha kwenye mood mapinfuzi ya fikra yaendelee nisaidien Chochote kinachoweza change my mood
0 Reactions
11 Replies
812 Views
Sasa hivi ukitaka kupiga sound demu unatumia maneno haya yanayokwenda na wakati Vita ya kutazama uzuri wako haijawahi kuziacha hisia zangu salama. Nipe makinikia ya moyo wako. Naahidi kulipa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
*Vijana wa Leo* *Suruali 40,000/=* *T-shirt 35,000/=* *Saa 25,000/=* *Simu 500,000/=* *Sadaka 500/=* *Halafu Unataka Pepo !!* *Mungu mjomba Ako?*...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Jumapili Ndugu Zangu WanaJF. Ni Tumaini Langu kuwa mpo sawa na Mnaendelea vema na harakati za kila siku za kutafuta Riziki na Mkate wa kila siku. Mwenzenu mimi Kiufupi Nilikuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nipo kwenye coaster jirani niliyekaa naye amefungua jf Haha rahaaaaa me namwangalia tu anapitia tu thread Sijui ni nani huyu?
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mnakumbuka juzi kati hapa niliwaandikia thread ya mwanamke alikuwa wa kwanza kumshawishi bwanake na wana harusi leo jumamosi?! Kwa mliomiss link hii hapa Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Unataka kujua Nini kitakuua ? Kama unata kujua Nini kitakuua fuatilia hii Andika HOWRIP. CO/kisha andika jina lako itakuja picha inayoonyesha Tukio la kifo chako Zingatia hutakiwi kuruka nafasi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee. Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wakuu. sa skonz lenyewe nimeshalipiga meno pande zote yaan, na mtoto kachachamaa kwel kwel
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Najua waliitwa Majambazi kwa tabia zao mbaya za kupora watu kwa kutumia silaha ndio maana jina lao bayaa!!....Hivi MAJAMBAZI WANA SURA GANI? Yaani wanafananaje? Ni mijituu mikubwa mikubwa yaani...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Naamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na...
2 Reactions
190 Replies
12K Views
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na...
0 Reactions
11 Replies
868 Views
Back
Top Bottom