JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Uuh ni Uzi maalumu wa kikaango humu Jf kila siku itawekwa update ya mtu wa kukaangwa humu, Leo tunaanza na MSHANA JR mwenye swali lolote kumuhusu Mshana Jr na kama unaitaji kujua chochote...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Habari za um jaman wana jf mim ni mgen kabisa um na ndio nimejiunga cjajua lolote kuhusu jf naomben mwenyej wangu awe hata rafik yangu wa karib
0 Reactions
6 Replies
850 Views
Habari za mchana ndugu zangu naamini mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa. Kwa waliobahatika kukutana na elimu ya viumbehai (biology) washawahi kukutana na msamiati huu distinctive...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Eti "Usingizi ni mbolea Ndo maana tukilala Tunaota"
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Habari Wakuu! Binafsi namuona Mh. Andrew Chenge sio mtu wa kawaida kabisa, kila aina ya kashfa ya Ufisadi ktk nchi hii basi jina lake linahusishwa. Na kwa bahati mbaya au nzuri inaonesha huyu...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap. Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter. Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Tutajiane ID ambazo ni pacha yaani baba mmoja, mama mmoja tumbo moja.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
An old Chagga man was struggling a bit with the English abroad. He walks in to the restaurant and wants to order a chicken, but unfortunately he can't remember what is chicken called in English...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bwana mmoja nchini Marekani alazwa hospitali hali yake imefika miaka 2 kutembea hawezi. Chanzo alipata mualiko kwa muafrika katika shughuli ya mtoto wake, kulikuwa kimepikwa vyakula vingi, mgeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkabidhi mwizi kitu chako hata kuibia Nasikia watu wakisema sana hivyo, embu wanawake wazuri namimi nikabidhini namba zenu sitawatongoza.
1 Reactions
11 Replies
723 Views
Kimaadili hii imekaaje?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni ka-mchezo rahisi sana ila nahisi wengi watashindwa na matokeo yake wataishia kusoma na kuondoka. Ka-mchezo kenyewe no hivi kila mtu awake neno moja tuu ambalo lina herufi tatu Mfano. Saa...
2 Reactions
188 Replies
17K Views
Jamani katika Mitandao Tajwa Hapo Juu nimeona CR7 ana Followers wengi kuliko #Zuck sasa kati ya Hawa nani Mwenye Mkwanja Mrefu na Katika uingizaji wa Hela Nani Anaingiza Mkwanja Mrefu Kuliko Mwenziee!
0 Reactions
46 Replies
15K Views
Za Mchana Wadau Naona Ka mvua Kananyesha Dar Kidogo.Jamani Muda Mwingi Napunguza Ma Stress Kwa Kuingia Jf Yeye Anachukia Nikiwa Jf Nifanyeje Nami Siwezi Acha Kuingia Jf?
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Aliefanya hii kitu aisee
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Mganga wa matunguli tena masikini unamwendea akupe utajiri. 2. Daktari wa kinywa mwenye meno mabovu na kinywa kichafu 3. Baba aliye ajiriwa kama dereva wa medium shool au kampuni yoyote, watoto...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Roho inaniuma mno rafiki yangu kapigwa banned hata sijui kafanya kosa gani, moderate namuombea msamaha kwa kosa alilolifanya pamoja na sijui kafanya kosa maana na km wiki hivi sijsjiusha na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Tushuke nao hapa. *1. VIPWENTE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anaweza Akakumiss Hadi Anahisi Network Zinakatika...Lakini Hakutafuti Ng'ooo Iwe Ni Kwa Message...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…