JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijajua hasa kwanini kumekuwa na kejeli zinaendelea kuhusu wanume wa Dar wana nini hasa mpaka wamekuwa wa kutolewa mfano "Wanaume wa Dar" Ninavyofahamu Dar kuna wnume wa shoka kwelikweli, hata...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Asante,Karibuni mabingwi wa kuchapua mh kuchapia mutupe michapio yenu 1:Twende sokoni- Twende chokoni 2:Ametoka kilosa- Ametoka kisola Aya Endelea nawe
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno .. Baadhi yake ni Chumbageni Chumvini Sitakishari Vijinga Sitaki dawa...
3 Reactions
65 Replies
15K Views
Mume alimpa talaka mkewe ,baada ya wiki moja baba yake mwanamke akafa,yule mwanamke akapewa urithi milioni 100 ,mwanaume kusikia ivo akampigia simu yule mwanamke akwamwambia "nina mimba yako
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dada Riama ally Umekuwa dada Mwema kwangu Namshauri Mzuri sanaa Pia Kazi zako Zinanikosha Ni.msanii pekee Usie Na makuu Mchamungu Na usie penda heka heka Allah akujalie Maisha marefu Inshaallah...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilienda kweny interview ya assistant accountant....mamb yalikuw hivi; Mr. Maswal; unaonekana umesomea kodi na forodha sasa inakuaje unataka kuwa accountant Me; huez kujua kias cha kodi bila...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi Kati nilimpiga mpenzi wangu kwa hasira tu kwakuwa alinikera, Baada ya siku mbili kutoka tukio la kumpiga huyo mwanamke namimi nilibananishwa na kuchezea kichapo chenye afya. sasa Leo mama...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Ukiona hudaiwi na taasisi yoyote au mtu fulani katika jamii basi ujue huaminiki. Kwaheri!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefikia kujiuliza hili swali bila kupata majibu. Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa; 1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa...
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Salaam wana jukwaa Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu Mimi uteja wangu...
2 Reactions
103 Replies
7K Views
joseverest. Huyu jamaa kila uzi yupo, hakwepeki aisee kama MAJI vile. Afu mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kureply kwenye kila uzi atakaokatiza. Mimi binafsi namuelewa member huyu,sijui wenzangu?
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3. Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Jamani sasa huku tunakoelekea siko kabisaa hata kama ndio biashara but mmezidi sasa imeanza JAZA UJAZWE sasa imekuja WEKA UTIWE[emoji38]
1 Reactions
31 Replies
4K Views
*Asubuhi wakati wa kuingia kazini* SAIMON SIRO kampigia saluti bosi wake ERNEST MANGU. *Jioni wakati wa kutoka kazini* ERNEST MANGU kampigia saluti bosi wake SAIMON SIRRO. hapa sasa ndo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
UNAJIITA MKRISTO LAKINI UNATAKA MWANAUME MWENYE GARI [emoji117]DADA ULIBATIZWA KWA DIESEL AU PETROL...
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Ndg zangu tushirikiane maajabu ya mji wa Dar Mimi naona watu hawatembei mahali kwa mguu hata kama umbali ni Mdogo Kila sehemu nyumba zimejaa yaani hatupumui Bodaboda wa Dar pamoja na watembea...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Matatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala Gafla mtoto kaamka Mtoto:mama nataka nikakojoe Mama:chukua tochi hapo uende Mtoto:akanyoosha mkono anaazakupapasa kumbe baba...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku. Kama na wewe...
1 Reactions
56 Replies
14K Views
*Ukiona mpenzi wako mpya anataka kujua habari za mpenzi wako wa nyuma* *Huyo hayupo kimapenzi ni mwandishi wa habari mwambie sikuwahi kurecord [emoji23][emoji23][emoji23]*
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…