JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi kusingekua na Nguo ni kina nani wangekua kituko...? 1.WANAUME 2.WANAWAKE povu juu ya povu
4 Reactions
101 Replies
7K Views
Laana pekee tuliyopewa na Mungu ni ile ya kula kwa jasho sasa hii ya kugeuza shingo tuonapo WANAWAKE.. tumejitakia wenyewe siyo mpango wa MUNGU. Jamani Mungu atusamehe.
2 Reactions
8 Replies
810 Views
Heshima kwenu wakuu wa Jf je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni 1.Utoro 2.Kuchelewa 3.kupiga kelele darasani 4.wizi 5.ugomvi shuleni 6.Upole darasani 7.kutumia simu shuleni kama...
1 Reactions
177 Replies
15K Views
Hii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au...
2 Reactions
7 Replies
813 Views
Achana na wanaume wa Dar, kutana na mwanaume wa Mwanza (aliyeshiba samaki)... :D:D:D
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi JF, Kuna baadhi ya Members ambao wamejiunga zamani kidogo,kuna tabia wanayo ya kuwakejeli ambao waliojiunga kipindi hichi cha karibuni,ukweli ni kwamba kuna baadhi tulikua tunafatilia JF enzi...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Ushawai kwenda dukani kwa muhindi ukamkuta na [emoji837] kidot chekundu, usoni kwenye komwe lake ukimchunguza sana utafikili anaku Record, ee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nasikia sana juu ya huu upako wa KI NIGERIA.... JE UKOJE??????? MAANA YAKE NINI HASA?????? UTAUJUAJE HUO UPAKO WA KINIGERIA??????? NI WACHUNGAJI GANI HASA WANA HUO UPAKO WA KINIGERIA?????????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naelewa fika kuwa watu wengi wanafahamu kuwa jiji hili lina vibaka wa kutupwa, ila napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu hasa wanaomiliki magari kuwa mara wanaposindikiza ndugu au jamaa zao na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ngoja nianze mimi, Kuna jamaa alikuwa mtundu na muhuni sana enzi za sekondari, navosema mhuni ni mhuni kweli kweli, Jamaa alikuwa haoni soo wala aibu yoyote kutupa pindi la kupiga nyeto, yani...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri...
2 Reactions
5 Replies
949 Views
Utamaduni wa kuanza kutekeleza mara moja, na bila ya kuhoji, kila ushauri unaotolewa na mashirika ya fedha duniani, ulioanzia katika enzi ya awamu ya tatu ya uongozi, ndio unaotishia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
aisee karibuni konyagi tuounguze stress.....hii kitu saaaaaafi sana maisha wayaona saaaafi sana.......afu ukinywa hii kitu sikiliza music bana aiseee taaaamu sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua wote huwa tunaoga labda mtu akiwa na shida maalum. Wengine wanaoga mara moja kwa wiki wengine mara moja kwa siku wengine mara mbili kwa siku nakadhalika. Swali langu ni je unajuaje kama...
0 Reactions
6 Replies
934 Views
hili suala kidogo nahitaji kupata uelewa nalo kidogo kuna uhusiano gani wa kimaumbile kwa asilimia kubwa wanaume wanene ambao wana vitambi na makalio huwa na vibamia yaani ukitoka nae tuu ukikohoa...
7 Reactions
136 Replies
22K Views
*"the pressure of the candidate is directly proportional to the days remain and inversely proportional to the uncovered topics while the date of the examinations remain constant"*
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi?inakuwaje Tanzania tuwe na reslmali kama madini na almasi.na bado nchi iwe maskini?mbuga,milima,bandari,nk.hivi vyote hela zake zinafanyia kazi gani hasa.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tushiriki kikamilifu kukumbuka Mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo Aliye hai. Tuwape stahiki zao wale wahitaji. Tuwe wapole. Wanyeyekevu. Wasikivu na Wavumilivu. Tutimize nadhiri zetu kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom