JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba kuuliza ile player ya miziki ya JF imehamishiwa sehemu gani? Nilikuwa naisikiliza almost kila siku na naikosa sana. Thanks
0 Reactions
3 Replies
2K Views
__._,_.___
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mchungaji alikuwa anafanya harambee ya ujenzi wa kanisa,waumini wakatoa jumla ya 75,000/=.wakaja watekaji wakateka kanisa na wakachukua fedha zote waumini walizokua nazo na wakapata jumla ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za humu ndani wakuu Tafadhalini sana aliyemwaga mchanga wa dhahabu getini mwangu aje autoe , sijawahi tofautiana na serikali [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TANGAZO!! TANGAZO!!TANGAZO. kama unandugu yako amehitimu chuo na yuko tayari kufanya kazi eneo lolote kulingana na taaluma yake kwa mshara zaid ya laki 7. Mpe hai.
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinaudhi kama mpate ajari alafu unajikuta wewe ndo umekufa yaani inakera sana unatamani hata ujinyonge.. Kwa hasira. :D:D:D:D
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani wanajukwaa miaka ya nyuma kuna bendi moja ilitoa wimbo wake mmoja ulijulikana kama mambo kwa soksi...dude hilo kwa soksi mwenye nayo nyimbo hiyo au mwenye kujua mashairi yake anitupie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari..!!!ivi ile saund track kile kimlio kwnye kipindi cha njiapanda cha Isack Maro wa Clauds Fm ile nyimbo inaitwaje na kaimba nani..?? msaada tafadhari......
0 Reactions
2 Replies
785 Views
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho Nakinacho stahili . Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nataka niwe na nywele za kusimama kama baadhi ya mastaa nchini Nipake mafuta gani au nitumie nini?
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Tangu Nimejiunga Na JF miaka 2.30 iliyopita Nimejifunza Mengi Ila Hili Lina Nishangaza Asilimia 95% threads Zina 5[emoji106] Like Tu? Au comment Zina 5[emoji106] Like Tu? ...je huo ni Utaratibu...
0 Reactions
4 Replies
697 Views
MUME: Bibie nifanyie chai. MKE: We hauna mkono MUME: Nina mikono Na Nina nafasi #tatu bado za kuongeza wake MKE: Nikufanyie ya #maziwa au ya #tangawizi **WANAUME HATUPIMWII**
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mh!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Unaenda kwa jirani yako unakuta tv anayo ona ni yako ukitaka kutoa simu upige polisi unakumbuka hiyo simu ni ya huyo jirani inabidi utulie tu. ;>;> :D:D:D
2 Reactions
21 Replies
2K Views
TANGAZO Nasikitika sana kuwaharifu ndugu zangu jamaa na marafiki wote kuwa sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa TIGO hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimevumilia sana ila...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
*#Ujinga_ni_nini [emoji2][emoji2][emoji116][emoji116]* *[emoji117]Ujinga ni kujikunja kubinua makalio, nywele feki, kucha feki, nyusi feki , makalio feki, vyeti feki [emoji6], ukakataa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri...
3 Reactions
4 Replies
937 Views
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom