JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari Wana Chit-Chat, Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr...
3 Reactions
176 Replies
17K Views
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua mchepuko Hapa JF ungemchagua nani? Tukianza na Mimi Huyu bibi Kasie a.k.a Kasinde angehusika:cool::cool:
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Wale wa Europa msimu ujao nawakumbusha kuwa Sevilla hajafuzu hivyo mtamkuta huko :):):):)
0 Reactions
1 Replies
735 Views
ndugu mteja, acha usumbufu wa kuangalia salio mara kwa mara kwan unaweza kusababisha mshahara kuingiaa kwenye account ya mteja mwingine. Tafadhali hakikisha vyeti vyako kabla hujaangalia salio...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
4 Reactions
44 Replies
26K Views
Mlipokuwa mnazungusha ngumi na kutaka MaBadiLiKo. ..haya NDiO MaBadiLiKo saSa kama mlikuwa hamna Habari VIvA Mh.You Walk Your Talk.
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Hello wakuu Mzigo mpya huo Umeingia Nimeona kabla sijautawanya Nianze Nanyie Open Shoes za ukweli Warembo wa Jf Najua Mna jipenda Jipatie kwa 15,000 tu Kwa dsm tunafanya delivered Mikoani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, kiukweli bado kuna vitu hapa Jf vinanipa wakati mgumu kidogo kuvifanya na kuvitekeleza. 1. Followers ( inakuwakuwaje ?) 2. Following (inakuwakuwaje?) 3.trophy points...
1 Reactions
5 Replies
728 Views
jamani mficha maradhi kifo humuumbua kwa heshima na taadhima naomba tuwataje ndugu zetu wenye vyeti feki na wametumbuliwa hivyo hawana kazi za kufanya zaidi ya kushinda wakirukaruka humu ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Kitendo cha hawa wanawake Wenye chura kuendelea kuzagaa hasa katika kipindi hiki ,tunachoelekea kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani,wallah umekuwa ukituondolea utulivu,na Umakini hasa katika...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Hizi ni pafyumu zenye sumu, Ambazo inasemekana kwamba Utakuwa na siku tatu tu za kuishi endapo utajipulizia Sasa Ukiambiwa umchague mmoja wa kumpulizia, Utamchagua nani?
0 Reactions
105 Replies
6K Views
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa...
15 Reactions
14 Replies
2K Views
"vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika either ushuani na mie
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NATAFUTA MSICHANA ANAYE ANAYEJUA KUCHUNA VIZURI MAANA NATAKA KUFUNGUA BUTCHER. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama yupo aje inbox[emoji403]
2 Reactions
9 Replies
2K Views
umekua kiongozi mzuri kwa makosa yalio pita. Sababu unajua? Watu wengi hawajui kukosea ninjia ya kuwa mwalimu wa maisha na changa moto ulizopitia.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mdau kanambia kua "kitunguu ndio tunda pekee linalo mliza binadamu" nimemtupia boga la uso saizi analia.. Au boga siyo Tunda jamani?
1 Reactions
5 Replies
934 Views
BOY: mambo baby GIRL: kimyaaa BOY: nakusalimia mbona hunijibu baby GIRL: kimyaaa BOY: 576458588545852 baby vocha hiyo ingiza GIRL: baby mbona haiingii BOY: kama haiingii gongea na nyundo #WapostPumba
1 Reactions
3 Replies
1K Views
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti #WapostPumba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom