JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za weekend wana chit chat KUNA JAMBO NAPENDA NILIFAHAMUU ZAIDIII KUTOKA KWENUUU...... Katika maisha ya sisi binadamu kila mtu ana kitu chake anapendelea kukifanyaa ...wengine husema...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
*☹☹leo nmeumwa na jino la chini nkaamua kuyang'oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu*☹☹☹☹sipendagi ujinga
5 Reactions
10 Replies
2K Views
dah usingzi haupo kabisa,yani kwa sababu yenu nyie jamaa wa voda na limtandao lenu,sijui kwanin mnanifanyia hivi kila siku hasa kwa watu na marafiki nawapenda. leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Je wajua kua vitu vitamu vyote vinaanzia na neno --ku????????? Km kuku,,,kula,,kulala,,,kuogaa,,kucheza,,,kusengenya,,n.k Na km unavingine niongezee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE: Alifika mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda mbeya, Mke akamuuliza...
8 Reactions
36 Replies
7K Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia...
13 Reactions
54 Replies
4K Views
Mlevi kaulizwa, Tunaposema R.I.P kwa mtu aliefariki tunamaanisha nini?* _Mlevi bila kuchelewa kajibu_[emoji116][emoji116]. *Roho Imefika Peponi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Mfano, ai kani ridi ei bi si,ai kani raiti veri weli,dia tichax3 rimemba mi.
1 Reactions
62 Replies
6K Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hatimae klabu ya Simba imeshinda rufaa yao ya FIFA na wamepewa kombe la dunia la wanawake.... #WapostPumba
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Eshima mbelee wadau Wengi wetu tuna penda Nyimbo za Ughaibuni Hususan Night Coz Zina bembeleza Nakuufanya Usikuwako Kuwa Mororooo Na wenye Ladha yaainayake Pembeni Ukiwa Na shemela Embu Tupia...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA nimepata yule aliyechomoka kwa ubavu wangu ambaye ni miezi kumi na moja naangaika kulipata tulizo la nafsi yangu hatimaye yamekuwa yule kila napo lala yeye ndo usingizi...
21 Reactions
647 Replies
33K Views
Naamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha...
4 Reactions
79 Replies
7K Views
Nyumbani kwa jirani hali si shwari
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Udume ni kutojiunga na kifurushi cha tigo jazwa ujazwe.. Cyo dharau.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hakuna kitu inapeaga madada stress kama kua na Tumbo kubwa kuliko tako....
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale wana jF wote Tuliopo Humu Kutoka Mkoa wa Pwani, Kibiti, Ruvu ,Mlandizi,Pangani,Kisarawe,Bwagamoyo,Rufiji Na Kibaha Tukuje hapa tufahamiane.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu...
6 Reactions
122 Replies
8K Views
Habar zenu wadau wa jf natumai wengi wenu mko good..!! Hebu leo tukumbushane zile hadithi za Uongo na kweli zilizo vuma enzi zetu za Utoto Tukianza na mimi nazo kumbuka ni Mzee Tola,Pamela na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…